
Jana tar 29/06 ndo ilikuwa kilele cha tuzo kubwa duniani "BET AWARDS" ambapo Diamond masanii kutoka Tanzani alikuwa akiwania katika kipengele cha msanii bora kutoka Afrika.
Japo Diamond alikuwa akiongoza kwa zaidi ya 60% za kura zilizokuwa zikioneshwa live katika mtandao. Akiwazidi wenzake akina Davido, Mafikilizo, n.k lakini mwisho wa siku tuzo hiyo imenyakuliwa na Davido (Nigeria). Hatuwezi kulalamika maana inawezekana kabisa kuna vigezo vingine vinvyozingatiwa na sio suala la kura za watu tu.
![]() |
Davido, Mshind wa tuzo ya BET |
Diamond ame andika hivi baada ya kukosa tuzo hiyo
