
Katika instagram kuna majibizano yalifofanywa na TID na RAY C. Baada ya TID kuto wimbo mpya aliweka post kai intagram, baadaye Ray C akakoment, kiukweli ukiiangalia comment ya Ray C kwa macho ya kawaida utaona kama haina shida kwa mtoa post (TID), lakini TID aliijibu comment hiyo kwa ukali na kwa kuonesha kama vile Ray C kamkejeli au kamtukana.
Ebu angalia hapa chini majibizano yao katika instagram

Kama hii haitoshi TID amehojiwa na chombo cha habari kimojawapo hapa nchini na ametoa kauli mbaya kabisakabisa kwa Ray C. Kuna baadhi ya vipande katika majibu ya TID vimefinywa kwa kuwa yalikuwa ni matusi mazito. Bofya hapa kusikiliza majibu ya TID http://www.hulkshare.com/millard_ayo_/clip-1-tid-1st-june-2014
babamzazi.com itaendelea kukujuza itakapopata taarifa zaid