HAWA WATOTO WANAKUJA KASI ILE MBYA "YA MOTO BAND/MKUBWA NA WANAWE"! ANGALIA...
BOFYA HAPA KUITAZAMA VIDEO YA HAWA WATOTO(MKUBWA NA WANAWE) WALIYOITOA BAADA YA "YA MOTO" IITWAYO "Najuta" https://www.youtube.com/watch?v=ISakU2mTz7Y
View ArticleDIAMOND PLATNUMS KUJA NA KITU HIKI.
Diamond Platinumz amepanga kuwapa kitu kizima mashabiki wake wa dunia nzima aliowakusanya kwa hits kadhaa za kiasili na za kimataifa.Mkali huyo wa ‘MdogoMdogo’ amepanga kuachia albam yake mpya aliyoipa...
View ArticleHIZI NDIZO HELA ATAKAZOPATA BINGWA WA KOMBE LA DUNIA MWAKA HUU 2014.
Bingwa mara tatu Ujerumani na bingwa mara mbili Argentina wa fainali za kombe la dunia, watawania dola za kimarekani milioni 35 kwenye mchezo wa hatua ya fainali ya kombe la dunia siku ya Jumapili,...
View ArticleHAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUFUNGWA NYUMBANI KWENU TENA SABA KWA MOJA.ONA HAPA...
Jinamizi la kufungwa mabao saba kwa moja bado linaendelea kuwatesa mashabiki wa soka nchini Brazil, ambapo miongoni mwao walionekana wakiangua vilio wakati wa mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya...
View ArticlePOMBE YAHARIBU FUTARI YA DIAMOND PLATNUMZ.
Ni kama jina la wimbo wake mpya wa Mdogo Mdogo ambao ndani yake kuna kikorombwezo ‘mwendawazimu kaingiaje’, ndiyo hali iliyotokea kwenye futari ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...
View ArticleBAADA YA KUTEMANA NA DIAMOND, PENNY ACHUMBIWA.
VJ PennyMtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa !...well kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba.Pia juzi swahiliworldplanet...
View ArticleManeno ya Rais Kikwete kuhusu ‘Urais’ wa January Makamba.
Ifuatayo ni kauli ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa Bumbuli Tanga kuhusu Naibu waziri ambae pia ni mbunge wa Bumbuli January Makamba.Amenukuliwa akisema...
View ArticleTAZAMA PICHA 10 ALIVYOPOKELEWA DIAMOND PLATNUMZ JANA.
Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 mashabiki wengi wakiongozwa na mama yake,dada yake pamoja na mpenzi wake Wema Sepetu ni miongoni mwa watu waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja...
View ArticleHII NI VUNJAMBAVU TENA TOKA KWA MASANJA IHUSUYO MPIRA/BRAZIL!! LAZIMA UCHEKE
Masanja ametoa kichekesho kikinachohusu shida zinazowakabili wanaume wanaoangalia mpira na wake zao hususani ule wa Brazil na Ujerumani KUANGALIA MPIRA NA WANAWAKE MAJANGA TUPUmke: Mbona hawa...
View ArticleKUMBE MUSSEVENI(RAIS WA UGANDA) ALIKUWA ANATAFAKARI NA SIO KULALA
Hivi karibuni TV moja nchini Uganda iliwahi kufungiwa kwa sababu ya kutoa habari juu ya Rais wa nchi hiyo Musseveni kulala bungeni. Kumbe imesemekana kuwa Rais huyo hakuwa analala bali alikuwa...
View ArticleVIDEO: PATA KUJUA MENGI JUU YA HUYU MSANII WA WASANII WA MUDA MREFU, KING-KIKII
Bofya hapa kutazama show ya Mkasi; mahojiano na Msanii Mkongwe King-KiKII https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&list=UUJMnnZhRRXbeyb5PoVWG2qg&v=h9oLdAMDwXk
View ArticleVIDEO: ANGALIA JINSI DAVIDO ALIVYOPATA SHIDA KUMEZA MANENO YA KISWAHILI...
BOFYA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=z49SqNqvivU
View ArticleMatokeo ya Chanjo ya kwanza ya Ugonjwa wa Dengue uliousumbua Tanzania.
Utafiti kutoka katika jarida la Lancet unaonyesha zaidi ya asilimia 50 ya watoto ambao wamepewa chanjo hiyo wamepata ulinzi dhidi ya ugonjwa huo.Nusu ya idadi ya watu duniani wako katika hatari ya...
View ArticleHii Ndio Kauli ya Dayna Nyange Kuhusina Ishu Zake Za Kutumia Mkorogo.
Mwimbaji wa kike Dayna Nyange azungumzia jinsi alivyokutana na changamoto nyingi baada ya kuamua kubadili rangi ngozi yake na kuwa nyeupe.Dayna ameeleza kuwa amekuwa akisolewa na watu wengi huku...
View ArticleMATOKEO YA KOMBE LA DUNIA YAKO HAPA.PATA KUMJUA BINGWA WA KOMBE LA DUNIA.
Baada ya mwezi mmoja hatimae michuano ya kombe la dunia imemalizika nchini Brazil ambapo mechi ya fainali iliwakutanisha Ujerumani vs Argentina jijini Rio de Janeiro kwenye uwanja wa Maracana.Ushindi...
View ArticleStaa mwingine wa Michezo aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Bingwa mara tano wa kuogelea katika michuano ya Olimpiki duniani Ian Thorpe amejitangaza hadharani kuwa ni shoga katika moja ya mahojiano yake nchini Australia.Awali Thorpe alikuwa akinakusha kuwa...
View ArticleNI SOOOH,CHIDI BENZ AMPIGA RAY C.
Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa mwenzake, Rehema Chalamila...
View ArticleMAJANGA KWA SHILOLE,AKATALIWA UKWENI.
Stori: Jamila Said na Emelder TarimoHaijakaa poa! Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed...
View Article