WABONGO WAFUMANIANA CHINA, WAZICHAPA BARA BARANI NA KUVUANA NGUO.
Stori: Shakoor Jongo na Musa MatejaNi aibu kubwa kwa taifa! Huku Waislamu wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo), mmoja mkazi wa Sinza, Dar...
View ArticleKauli ya mwisho ya Ballali kabla ya kifo chake.
“Ni kweli nilishiriki kwenye maziko kwa sababu mimi kama Balozi wa Tanzania wakati huo ndiye nilikuwa mwakilishi wa Serikali pale Washington, lakini jambo la pili ni kwamba binafsi nilimfahamu Ballali...
View ArticleSumaye: Nitagombea urais 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye.PICHA|MAKTABAHatimaye Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitajwa kuwania urais amethibitisha rasmi kuwa atagombea kwenye uchaguzi...
View ArticleKanisa lawataka wachungaji wajiuzulu Chadema.
Katibu mkuu wa Chadema,Dk Willibrod Slaa.PICHA|MAKTABAÂ Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Joseph Matare...
View ArticleTuzo ya Messi yamchefua Stan Collymore.
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Stanley Victor "Stan" Collymore, amepinga hatua ya shirikisho la soka duniani FIFA ya kumpa tuzo ya mchezaji bora wa fainali za kombe la dunia za mwaka...
View ArticleFIFA waichimba mkwara FC Barcelona.
Shirikisho la soka duniani FIFA, limewapiga marufuku viongozi wa FC Barcelona kuweka hadharani shughuli zozote zinazohusiana na usajili wa mshambuliaji kutoka Uruguay, Luis Alberto Suares Diaz, baada...
View ArticlePele: Ni vigumu kusahau kilichoitokea Brazil 2014.
Gwiji wa soka duniani Edson Arantes do Nascimento Pele, amesema katu hatosahau kilichoikuta timu yake ya taifa ya Brazil, wakati wa fainali za kombe la dunia ambazo zilifikia tamati hapo jana kwenye...
View ArticleHII NDIO HALI YA SNURA WA MAJANGA KWA SASA.
Baada ya kusikika maneno mengi sana juu ya uhusiano wa Snura na mpenzi wake anayefahamika kwa jina la Dj Hunter,Soudy Brown amekuja na taarifa ambayo inahusu hali ya Snura kwa sasa ambapo inasemekana...
View ArticleHuyu ndio mwigizaji wa filamu ya Harry Potter aliyekutwa amekufa.
Mwigizaji raia wa Uingereza aliyecheza series za Harry Potter amekutwa amekufa jijini California, kwa mujibu wa mamlaka za eneo hilo.Dave Legeno, mwenye umri wa miaka 50, alikutwa akiwa amepoteza...
View ArticleUlimwengu, Samata Kuwasili Kesho Jumatano.
Washambuliaji Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanawasili nchini keshokutwa alfajiri (Julai 16 mwaka huu) kwa ajili ya mechi dhidi ya...
View ArticleHIVI NDIVYO RIHANNA ALIVYOFANYA KOMBE LA DUNIA NA WAJERUMANI PAMOJA NA PELE.
Kwenye fainali ya kombe la dunia msanii Rihanna aliweka wazi kuwa yeye ni shabiki wa Ujerumani tangu mechi inaanza. Rihanna alikuwa kwenye jukwaa la watazamaji akiwa na jezi ya Ujerumani na alionekana...
View ArticleTerrence J,Chaka Zulu na David Banner watoa madini kwa wasanii,wadau na...
Ile ahadi aliyoiahidi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete leo imetimia baada ya wasanii mbalimbali wa filamu na waimbaji wa muziki kutoka kwenye aina tofauti ya muziki ikiwemo...
View ArticleMagazetini Ya leo July 15 2014.
 Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo....................................Credit:Millardayo.com
View ArticleHAWA MADADA ZETU KWELI WAMEVURUNGWA ONA HIZI PICHA ZAO ZA AJABU AJABU.
CREDIT:MASAINYOTAMBOFU
View ArticleMTOTO ALIYEKUFA "AFUFUKA" KWENYE MSIBA WAKE
Waombolezaji nchini Ufilipino walipatwa na mshituko, pale mtoto wa miaka mitatu aliyekuwa "amekufa" kuzinduka wakati wanampeleka mazikoni.Kwa mujibu wa gazeti la Metro -mtoto huyo kutoka Aurora,...
View ArticleRais wa FIFA"Nilishangazwa nilipomuona Messi anakuja kupokea tuzo ya mchezaji...
Katika hali ya kushangaza, raisi wa shirikisho la soka duniani Joseph Sepp Blatter ameungana na wadau wa soka wanaopinga hatua ya mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Andres...
View Articlewababe wa Ulaya kuwasilisha mzigo wa million 30 mjini Munich.
Mabingwa wa soka barani Ulaya Real Madrid hii leo wanatarajiwa kuwasilisha kiasi cha paund million 30, mjini Munich ambazo zitatumika kama ada ya usajili wa kiungo wa klabu bingwa nchini Ujerumani FC...
View Article