Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

KUMBE MUSSEVENI(RAIS WA UGANDA) ALIKUWA ANATAFAKARI NA SIO KULALA

$
0
0


Hivi karibuni TV moja nchini Uganda iliwahi kufungiwa kwa sababu ya kutoa habari juu ya Rais wa nchi hiyo Musseveni kulala bungeni.
Kumbe imesemekana kuwa Rais huyo hakuwa analala bali alikuwa akitafakari (meditate).

Zaidi angalia video hii pia kujionea pia kirefu cha kulala (SLEEPING) inayomlenga Rais huyo https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=u6pxdr865bQ

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Latest Images

Trending Articles