Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

HIZI NI MBWEMBWE SASA!! ETI GOLI LA VAN PERSIE LINATENGENEZEWA SARAFU

$
0
0
van 2

Wenzetu ni watu wa kuthanini mamabo ambayo kiafrika tunaweza kuona ni kupoteza muda au haina umuhimu. 

Kampuni pekee ya nchini Uholanzi iliyopewa mamlaka ya kutengeza sarafu ijulikanayo kama the Royal Dutch Mint inajitayarisha kutoa sarafu inayoonyesha kitendo cha aina yake cha Van Persie cha kupiga kichwa kama vile anaogelea hewani.

Goli hilo la Van Persie lilikuwa goli la kwanza la timu hiyo katika michuano hii ya kombe la dunia dhidi ya uhispania na imebaki kama moja ya vitendo vya kukumbukw asana katika michuano hiyo hata kufikia hatua ya kutengenezewa sarafu hiyo ya kihistoria.
van 1

Ni sarafu 6,000 zitatolewa na zote zitauzwa siku ya kwanza kwa dola 13.4 za kimarekani sawa na Takribani Sh. Elfu thelathini za kitanzania na zitakazouzwa si zaidi ya mbili kwa mtu mmoja.
Kwa kuwa sarafu hii haipo kisheria itakua na thamani kwa mtumiaji peke yake.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles