LADY JAYDEE ASHIRIKI KWENYE WIMBO RASMI WA KOMBE LA DUNIA.
Msanii mkongwe wa muziki nchini Judith Mbimbo maarufu kama Lady Jaydee ameshiriki kuimba wimbo maalum wa kombe la dunia 2014 akishirikiana na David Correy na rapper wa Kenya, OctopizzoKatika wimbo huo,...
View ArticleLady Jay Dee atoa nafasi kwa mashabiki kuhudhuria bure uzinduzi wa wimbo wake...
Lady Jay Dee anatarajia kuzindua audio na video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Nasimama’, Jumamosi, April 12. Lakini anahitaji kuwa na mashabiki ambao watapata nafasi ya upendeleo kutokana na kufuatilia...
View ArticleMcheza mieleka maarufu 'The Ultimate Warrior' afariki baada ya kuanguka...
Mcheza mieleka maarufu aliyetumia jina la The Ultimate Warrior amefariki Jana (April 8) akiwa na umri wa miaka 54, ikiwa ni siku chache baada ya kupewa heshima kwa kuingizwa kwenye WWE Hall of Fame.WWE...
View ArticleHII NI FUNDISHO KALI KWA WANAOENDESHA MAGARI HUKU WANACHAT NA SIMU.TAZAMA...
Kadri teknolojia ya mawasiliano ya simu inavyozidi kurahisishwa ndivyo binadamu anavyotumia muda mwingi katika simu yake , lakini hugeuka kuwa hatari kubwa inayoweza kuchukua maisha yake pale ambapo...
View ArticleHIZI NDIZO NGUO WATAZOVAA DIAMOND NA WEMA SIKU YA HARUSI YAO.
Hizo nguo unazoziona hapo juu zimeshonwa na manager wa wema sepetu Martin kadinda ambaye pia ni designer mkubwa wa diamond the platnumz kwenye vazi la single button.Martin kadinda akaamua kushona nguo...
View ArticleVikwazo vya Marekani dhidi ya Urusi havikugusa shows za Miley Cyrus na Justin...
Japokuwa Marekani imeiwekea Urusi vikwazo baada ya kuingia kijeshi Ukraine, vikwazo hivyo vinaonekana kutoathiri vitega uchumi vya baadhi ya raia wa urusi nje ya nchi yao.Hii imedhihirika baada ya...
View ArticleNchi 26 zatoa ndege,meli,manowari na satelaiti katika juhudi ya kuisaka ndege...
ZOEZI la kuitafuta ndege ya Malaysia iliyopotea yenye namba MH370, linaweza kugharimu mamilioni ya Dola na kulifanya kuwa zoezi lenye gharama kubwa kuwahi kushuhudiwa katika historia ya sekta ya...
View ArticleWimbo Mpya:Kala Jeremiah Ft Juma Nature,Young Killer & Nay Lee _Wale Wale Remix
Sikiliza wimbo mpya wa Kala Jeremiah aliyowashirikisha Juma Nature,Young Killer & Nay Lee,wimbo unaitwa 'Wale Wale'
View ArticleWagosi wa Kaya 'Mkoloni na Dr. John' warudi rasmi Mwaka huu.
Kundi la Wagosi wa Kaya kutoka Tanga ambalo liliwavuta mashabiki wengi Tanzania kwa nyimbo zenye ujumbe wa maisha halisi ya Kitanzania mwaka 2001 walipotoa album ya Ukweli Mtupu, limepanga kurudi tena...
View ArticleWimbo mpya wa Skylight Band – Kariakoo.
Huu ni wimbo wa tatu kuachiwa rasmi na Skylight Band baada ya Carolina na Nasaka Dough audio hii imefanywa katika studio za Skylight studio na producer ni Tuddy Thomas.
View ArticleKWELI WATU WANATOKA MBALI.TAZAMA PICHA YA SHILOLE ENZI HIZO YUKO IGUNGA.
Picha hii kutoka kwa Shilole enzi zake zamani kabla hajaanza kazi kwenye kiwanda cha burudani.Hapo alikuwa anaitwa Zuwena kabla ya majina ya Shilole na Shishi baby hayajaanza kutumika.
View ArticleOGOPA SANA AINA HII YA PERFUME,INAWEZA KUKUONDOA DUNIANI WAKATI WOWOTE.
Chanel ya Tbc1 imetangaza kua imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini.Iraq, Bahrein na Suudia, vilevile ktika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman.Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na...
View ArticleBaada Ya Ushindi Wa Chelsea Peter Wa P Square Aonyesha Rangi Zake.
Hii picha ya Muda kidogo P Square Ndani ya Jezi Za Chelsea.
View ArticleHawa Ndio wacheza soccer matariji duniani 2014.Samuel Eto'o ni Wa 3 kwa Utajiri.
Orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu matajiri duniani 2014 kama ilivyotolewa na mtandao wa Goal.com.
View ArticleAfrika Kusini yazindua kampeni za siku ya kimataifa ya Mandela.
Kampeni ya mwaka 2014 ya siku ya kimataifa ya Nelson Mandela imezinduliwa rasmi huko Johannesburg, kwa lengo la kuhimiza mabadiliko katika jamii. Siku hiyo inaadhimishwa kote duniani ili kusherehekea...
View ArticleKUWA WA KWANZA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO MPYA WA RAS LION-PENYE UKWELI.
Ras Lion ambaye ni Msanii wa zamani katika industry ya mziki ambaye anafanya kwa staili yake na mashabiki kumwelewa sana, kwa sasa ameiachia ngoma yake mpya hii hapa.
View ArticleAIBU! Padre aiba fedha za watawa na kumhonga Mpenzi wake wa Kiume.
Padre mmoja muitaliano ambaye hakutajwa jina, amekumbwa na mashtaka na fedhea ya kuiba fedha za watawa ili kumpatia mpenzi wake wa kiume kutoka Morocco.Kiwango cha fedha hizo hakikutajwa ila...
View ArticlePicha Iliyosambazwa Kwenye Mitandao Kumchafua Justin Bieber Na Austin Mahone...
Picha hii iliyotengenezwa kuonyesha Justin akimpa busu msanii wa Young Money Austin Mahone imeripotiwa kumkasirisha sana Justin Bieber baada ya mashabiki zake kuthani kuwa ni picha ya kweli kabla picha...
View ArticleMatokeo ya Yanga vs Kagera Sugar haya hapa pamoja kilichotokea kwenye mechi...
Mabingwa wa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara Yanga ya Dar es salaam leo imepata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Kagera Sugar.Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la uwanja wa taifa jijini Dar,...
View ArticleKUTANA NA MTU MWENYE UGONJWA WA AJABU KULIKO WOTE DUNIANI.
Chandra wisnu ni baba wa watoto wanne anaeishi Nchini Indonesia. Sura yake hapo utotoni kabla ya kuugua ugonjwa huu.Hali ilivyo sasaHapa akiwa na Mtoto wake wa kiumeHapa akiwa na familia yake.Hapa...
View Article