Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Picha Iliyosambazwa Kwenye Mitandao Kumchafua Justin Bieber Na Austin Mahone Ndio Hii.

$
0
0

Picha hii iliyotengenezwa kuonyesha Justin akimpa busu msanii wa Young Money Austin Mahone imeripotiwa kumkasirisha sana Justin Bieber baada ya mashabiki zake kuthani kuwa ni picha ya kweli kabla picha halisi haijatoka.

Embedded image permalink
Hawa baadhi ya mashabiki wa Justin Bieber baada ya kuona hii picha na kusikia kuwa katangaza kushiriki mapenzi ya Jinsia moja
Hii Ndio Picha Halisi
View image on Twitter



Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles