Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

HIZI NDIZO NGUO WATAZOVAA DIAMOND NA WEMA SIKU YA HARUSI YAO.

$
0
0

Hizo nguo unazoziona hapo juu zimeshonwa na manager wa wema sepetu Martin kadinda ambaye pia ni designer mkubwa wa diamond the platnumz kwenye vazi la single button.
Martin kadinda akaamua kushona nguo hizo na kupropose kwamba ziwe ndo nguo zao za harusi na akasuggest wavae kwenye sandolf yao kwani kiukweli zimewapendeza sana n the cloth look lovely to them, eti jamany muonekano wao ukoje,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles