KUTANA NA MSANII MREMBO ANAYEDAI BADO NI BIKRA NA YUKO TAYARI KUIUZA KWA YULE...
Muimbaji wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian amesema bado ni bikira na ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi.Kwenye mahojiano na jarida la Vanguard, muimbaji huyo mrembo...
View ArticleLupita Nyong’o Ndio Balozi Wa Hivi Vipodozi.
Star wa filamu kutoka Kenya Lupita Nyong’o amepewa heshima kubwa na kampuni ya vipodozi ya Lancome kuwa balozi wa bidha zao. Kampuni hii inatengeneza perfume, mafuta ya mwili na body lotion. Kampuni...
View ArticleMr Flavour na video yake mpya – Black Is Beautiful
Mr Flavour aliwahi kufika Tanzania kwa ajili ya show na video yake iliyopita alifanya na mshindi wa big brother Dillish Mathew.Hivi sasa ametoa video mpya ya wimbo wake wa Black is Beautiful, kama...
View ArticlePENNY: MAPENZI YA SIRI SIYAWEZI.
PREZENTA wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri.Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na paparazi wetu na kuainisha kuwa tangu...
View Article20% ANASWA KWA MGANGA WA KIENYEJI.
Kichwa cha Bongo Fleva kutoka pande za Kimanzichana mkoani Pwani, Abas Kinzasa ‘20%’, anadaiwa kunaswa laivu akiwa kwa mganga wa kienyeji akipata tiba ya kupunguza na kuondoa sumu ya utumiaji wa bangi...
View ArticleHii Tattoo Nyingine Imeongezeka Kwenye Mwili Wa Msanii Jux.
Msanii wa Rnb mwenye wimbo unaofanya vizuri kwenye radio kwa sasa ‘Nitasubiri’ ameongeza asilimia ya wino wa tattoo kwenye mwili wake tena, Hii picha ilionekana kwenye instagram yake ikiwa na haya...
View ArticleJipya Kutoka Kwa Shakira Kuhusu Kutofanya Video Na Models Wa Kiume Tena.
Ukiwa shabiki namba moja wa babamzazi.com utakuwa ulisikia kuhusu Mchumba wake Msanii Shakira kusema hataki mpenzi wake afanye video na mwanaume yoyote tena kwenye maisha ya muziki wake.Mpenzi wa...
View ArticleHii Kwa Msichana Mwenye Ndoto Ya Kuonekana Kwenye Video Ya Mr Blue.
Pesa ni wimbo wa Mr Blue uliofanya vizuri ndani ya muda mfupi radioni bila promo ya aina yoyote kufanyika, Mr Blue aliwahi kushojiwa na kusema kuwa Pesa ilikuwa kama freestyle iliyomkuta studio. Jipya...
View ArticleOfficial Logo Ya Pozi Kwa Pozi Ya Ommy Dimpoz Iko Hapa.
Msanii aliyewahi kuwa mwimbaji wa bendi ya TID, The Top Band ambaye kwa sasa anamiliki band yake ametoa official logo ya Kampuni na brand yake ya PKP. Omari Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz atawakilishwa...
View ArticleKampuni ya Amazon imezindua televisheni yake inayotumia Internet.
Televisheni hiyo itawawezesha watumiaji wake kupokea taarifa moja kwa moja kutoka katika maktaba ya Amazon, pamoja na huduma nyinginezo wanazotaka. Jina la Televisheni hiyo ni Amazon Fire TV, watumiaji...
View ArticleHizi ndizo picha mpya za Kim Kardashian zinazoangaliwa sana kwenye internet...
Kim Kardashian ziadi ya kuutumia muda wake wa mapumziko akiwa nchini Thailand pia alitumia muda huo kufanya photo shooting akiwa beach.Japokuwa picha kamili zilizokuwa zinapigwa bado hazijatoka lakini...
View ArticleMASKINI HUYU KIJANA ONA GONJWA LA AJABU LILILOMPATA.
AMA KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA! Kijana, Andrea John, 26, amejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kupatwa na ugonjwa wa ajabu uliosababisha mguu wake kuwa na magamba mithili ya mti mkavu.Kijana, Andrea...
View ArticleHAYA NDIO MAJANGA YALIYOMKUTA MR NICE.
Hivi karibuni baada ya kuchezea kichapo kisa kikidaiwa kuwa mke wa mtu na hapo alipigwa chupa ya bia iliyomchana chana uso mzima na kumuacha na kilema cha makovu. Hapa Mr Nice Shavu dodo msafara wake...
View ArticleMASTAA MATAJIRI WACHUNGUZWA KISA MADAWA YAKULEVYA.
KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa ‘mastaa’ Bongo ambao wameibuka na utajiri wa ghafla, Uwazi...
View ArticleMTOTO WA MIAKA MINNE ABAKWA NA NJEMBA.
Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Iddi Mgosi anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Wazo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka minne (jina linahifadhiwa) huko Mivumoni,...
View ArticleHIZI NDIO SABABU ZILIZOMFANYA IZZO BIZNESS KUTOKUMPIGIA KAMPENI RIDHIWANI.
Jumapili iliyopita (April 6), Ridhiwani Kikwete alitangazwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kiti cha ubungo wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani.Hii ilikuwa habari njema pia kwa Izzo Bizness...
View ArticleCHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA JUU YA KABURI KIKITOKA DAMU.
MAUZAUZA yametokea katika kaburi la mtoto Agnes Mlawa (8) mkazi wa Ilala katika Manispaa ya Iringa aliyezikwa mwaka jana baada ya baba wa mtoto huyo kukuta chungu cha ajabu chenye damu, maini...
View ArticleKANUMBA DAY NDANI YA DAR LIVE ILIKUWA HIVI.
April 07 2012 ni siku ambayo Tanzania ilimpoteza Msanii wa Filamu Steven Kanumba ni msiba ambao ulibeba hisia za Watanzania na hata wasio Watanzania ambao walikua wakifatilia filamu mbalimbali...
View ArticleAMWAGA MACHOZI KISA TU APIGE PICHA NA DIAMOND.
HIKI NDO ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSANA NA TUKIO HILO Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu...
View ArticleHAYA NDIO MAJANGA YALIYOMKUTA BAADA YA KULALA NA MKE WA MTU.
Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara kwa mara...
View Article