Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Lupita Nyong’o Ndio Balozi Wa Hivi Vipodozi.

$
0
0

Star wa filamu kutoka Kenya Lupita Nyong’o amepewa heshima kubwa na kampuni ya vipodozi ya Lancome kuwa balozi wa bidha zao. 

Kampuni hii inatengeneza perfume, mafuta ya mwili na body lotion. Kampuni hii haijatoa muda wa ubalozi wa Lupita ila wamesema kuwa ” Urembo na mvuto wake unaochangiwa na uzuri wa ngozi yake halisi unampa vigezo vyote vya kuwa balozi wa bidha zao”.
Lupita ametoa maelezo yake nakusema
“Ni heshima kubwa nimepewa na nina furaha kujiunda na kampuni ya Lanncome, napenda historia yao na misingi yao ya kuona urembo wa mwanamke ni uhuru wa mwanamke na sio kupangiwa na mtu au sababu yoyote”

Kwa sasa tunamuweka Lupita pamoja na mastaa wakubwa duniani waliowahi kuwa mabalozi wa vipodozi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles