![]()
Msanii aliyewahi kuwa mwimbaji wa bendi ya TID, The Top Band ambaye kwa sasa anamiliki band yake ametoa official logo ya Kampuni na brand yake ya PKP. Omari Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz atawakilishwa na logo hii kwenye kazi zake tofauti kama matamasha ya muziki, mavazi na wasanii wa PKP.