
PREZENTA wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri.
“Bado nipo nipo sana na kama ujuavyo, mimi siwezi kuyaficha mapenzi kama nimepata mpenzi wala haichukui muda kila mtu atajua tu,” alisema Penny.
credit:GPL