Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WA DAR NA MAPENZI ACCORDING TO MONEY LEVEL.

Wanawake wa Dar wana Viwangovyao vya Hela..Ukiwa unampa 50,000-90,000utakuwa unaitwaJina lako tu,Goodmorning Kelvin..Hallow KelvinHow is your Day...Goodnite Kelvin.Ukiwa unampa kati ya 100,000...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MR NICE APATA SHAVU JINGINE NCHINI DENMARK.

Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVAZI YA WASHIRIKI WA BSS 2013 AIBU TUPU.

                                NI POZI AMA TEGOTupe maoni yako mdau wetu pia tazama picha zaidi hapo chini  ELIZABETH MWAKIJAMBILE AMBAYE PIA ALIINGIA TOP FIVE YA BSS 2013   MOROMORO MAUNO!...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA LINAH KUFUNGUKA ANATAKA MTOTO, SASA NI ZAMU YA OMMY DIMPOZ..!! SOMA...

Wiki kadhaa zilizopita msanii Linah alifunguka na kudai kuwa anatamani kuitwa mama kwani umri umeshaenda. matamanio hayo hayajampata Linah pekeyake kwani msanii wa pili kupokea mkwanja mwingi kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUMANIZI LA WATU WAZIMA..!! HAWA NI WAZEE KABISAA WENYE FAMILIA ZAO WANASWA..!!

Adhabu ya kutembeza watu uchi huko Nigeria imekuwa ndio adhabu ya kawaida kwa watu kama hawa, baadhi ya watu wakifumaniwa huvuliwa nguo zote na kutembezwa uchi mtaani kama fundisho kwa wengine.wazee...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARNABA AONYESHA MKOKO WAKE MPYA..!!

Ameionesha gari yake mpya aina ya Toyota Mark X ikiwa bado na chasis namba na kuandika “Oyeaaaaa Thanx Lod imetimia”.Katika picha nyingine Barnaba a.k.a baba Steve aliandika “New”, na picha ya tatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOKATE AZINDUA KIDOTI CLUB..

Mrembo, Muimbaji, Muigizaji wa filamu, Mtangazaji wa TV na Mjasiriamali nchini, Jokate Mwegelo aka Kidoti jana amefanya uzinduzi wa kile alichokiita ‘Kidoti Club’.“Ni huduma za SMS, watu wanajiunga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA RAIS OBAMA ALICHOMFANYA MKEWE KWENYE MSIBA WA MANDELA!!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Filamu Kumi Na Sita Zilizotamba Na Zilizofeli Mwaka 2013.

Winner: "Iron Man 3" Ndio filamu iliyotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2013, Fuatilia hapa kuona zaidi.Winner: "Gravity" Imefanya vizuri mwisho wa mwaka hu na itapokea zawadi zaidi mwakani. Ila mpaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mariah Carey akosolewa na kundi la kutetea haki za binadamu kwa kufanya show...

Hivi karibuni Mariah Carey alizikonga nyoyo za mashabiki huko Angola kwa show ya maana iliyomuingizia kiasi cha dola za Marekani Milioni 1, sawa na bilioni 1 na milioni 600 za kitanzania.Kundi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shaa azitaja sifa za mwanaume anayefaa kuwa mmewe wa ndoa.

Mwimbaji wa kike wa Tanzania aliyeivaa taswira ya Uswazi na kutisha kiswazi zaidi na wimbo wake‘Sugua Gaga’, amezitaja sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mumewe wa ndoa.Shaa ameiambia tovuti ya Times...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mganga wa Diamond aibuka tena, asema Diamond ameanza kushuka, aapa hatakufa...

Mtu mmoja anayedai kuwa mganga aliyemtoa mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameibuka tena na kueleza kuwa Diamond Platinumz tayari ameanza kushuka kimuziki kama alivyosema awali.Mtu huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jay Z azidi kujidhatiti kibiashara, kuzindua Cigar yake binafsi 'The Comador'

Rapper mkongwe Jay Z anazidi kujidhatiti katika biashara zaidi, ambapo ripoti zinadai kuwa ameungana na kampuni ya General Cigar kutengeneza cigar yake binafsi kwa ajili ya biashara, aliyoiita ‘The...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu akumbushia enzi zake na marehemu Kanumba 'kikazi zaidi'

Muigizaji wa kike aliyeanza kuigiza filamu za kitanzania (Bongo Movies) akiwa na umri mdogo na kukulia kwenye tasnia hiyo, Elizabeth Michael aka Lulu amewakumbusha fans wake yeye na Marehemu Kanumba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fid Q: Muziki hauhitaji fashion kama fashion inavyouhitaji muziki.

Fareed Kubanda aka Fid Q amefunguka kuwa mitindo aka fashion kwa lugha ya kigeni ndio ambao unauhitaji zaidi muziki ili tasnia hiyo iweze kuendelea, na kwamba muziki hauhitaji mitindo.Ngosha The Swag...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi Wenye Hasira Kali Wachinja Hadi Kuua Watoto Wawili wa Diwani wa CCM.

Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARUFUKU KUVAA MINISKIRTS UGANDA, WABUNGE WAPITISHA MUSWADA WA...

Wabunge wa nchini Uganda leo wameupitisha muswada wa ‘anti-pornography’ utakaopiga marufuku uvaaji miniskirts na nguo zingine zinazotamanisha kimapenzi. Muswada huo unaopingwa vikali kama tishio kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na...

Waziri wa Maliasiri na utalii atangaza kujiuzuru rasmi akiwa ndani ya Bunge.Asema yeye ni mtu mzima na kasikia mengi, kateuliwa na rais kwa matakwa ya rais na hakuomba hivyo ana resign.Mathayo yeye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU MREMBO NA STAR WA FILAMU ZA BONGO ANATAMANI KUOLEWA NA KINGWENDU.

MSANII wa kike wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kwa kusema kuwa mwanaume sahihi kwake na anayestahili kumuoa ni Rashid Mizengwe ‘Kingwendu’ kwa kusema anaamini ndiye anaweza kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND NA PENNY WAMWAGANA!

NDIYO habari ya ‘mujini’ kwa sasa, kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, mtangazaji wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wamemwagana,...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live