$ 0 0 Ameionesha gari yake mpya aina ya Toyota Mark X ikiwa bado na chasis namba na kuandika “Oyeaaaaa Thanx Lod imetimia”.Katika picha nyingine Barnaba a.k.a baba Steve aliandika “New”, na picha ya tatu aliandika “Kaz nzuri na mambo mazuri”.