Huddah Monroe: Siko kwenye mashindano na mwanamke yeyote, labda Beyonce.
Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Huddah Monroe aka Thee Boss Lady, amejiweka katika level za mama Blue Ivy, Beyonce Knowles na kuwaonesha wasichana...
View ArticleJaguar anunua gari ya shilingi milioni 288 za Tanzania.
Msanii wa Kigeugeu, Jaguar ameongeza ndinga ya gharama kwenye orodha ndefu ya magari yake ya bei mbaya. Msanii huyo wa Kenya aliionesha gari yake mpya kwenye concert ya miaka 50 ya uhuru wa Kenya...
View ArticleAINA MBILI ZA KUSHINDWA KUSHIKA MIMBA (INFERTILITY)
Kuna aina mbili za wanawake kushindwa kushika mimba au kwa maneno rahisi, ugumba kitaalamu Infertility, ambao unatambuliwa kitabibu.Aina moja huitwa kitaalamu Secondary infertility na aina nyingine...
View ArticleNILIKOSA ULAJI WA KUFANYA FILAMU YA ULAYA KWASABABU YA CHARGER YA SIMU-BIGGIE.
Mwigizaji mwenye muonekano wa kipekee katika tasnia ya filamu Bongo Lumole Matovolwa ‘Biggie’ anasema kuwa alikosa kwenda kuigiza filamu Ulaya kwa sababu ya kwenda kurekodi filamu mbali na ukosefu wa...
View ArticleIsmail Aden Rage kakubali kujiuzulu,ila hiki ndicho alichokisema.
Wanachama wa klabu ya Simba wamemjia juu Mwenyekiti wake Ismail Aden Rage juu ya suala zima la mchezaji Emanuel Okwi,Hivi ndivyo alivyosema Rage ‘Mimi najiuliza ndo maana nimeomba ufafanuzi toka Fifa...
View ArticleDANGULO LA WANAFUNZI WA KITANZANIA LAFICHULIWA HUKO KAMPALA UGANDA.
Wanafunzi wanao toka Tanzania kwenda Uganda baadhi yao wamekuwa wakitia aibu pindi wanapokuwa huko. Wamekuwa wakijiingiza kwenye makundi mabaya na tabia chafu, wengi wao hupanga vyumba mitaani na...
View ArticleHIVI NDIVYO JINSI NDEGE YA ETHIOPIA AIRLINE ILIVYOCHIMBA UWANJA WA NDEGE...
Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.Ndege aina ya Boeing 767...
View ArticleKWENYE SHEREHE YA RIHANNA AIBU TUPU.
Nyota wa muziki wa Marekani Rihanna amesherehekea kutimiza miaka 22 kwa shoo toka kwa mwanamke mcheza ngono ambaye ni mfupi kuliko wanawake wote wanaoshiriki kwenye sinema za ngono.
View ArticleTAZAMA PICHA JINSI ILIVYOKUWA NDANI YA PANTONI BAADA YA KIVUKO KUPOTEZA...
Ilikuwa ni mida ya saa nane mchana ambapo Pantoni kubwa ya Mv. Magogoni ikiwa imesheheni abiria ikiwavusha kutokea Posta kuelekea Kigamboni , ilipatwa na wakati mgumu baada ya kushindwa kutia nanga ili...
View ArticleWANAFUNZI WA CHUO KIMOJA MAARUFU HAPA MJINI WANASWA WAKIFANYA MADUDU HOSTEL.
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.Katika uchunguzi wa muda mrefu, Inaonyesha kuwa kuna kamtindo ka wanafunzi kufanya mapenzi ndani ya...
View ArticleLULU 'SITAKI KUTUMIA SIMU TENA KWANI KERO TU..ANAE NITAFUTA ANITUMIE BARUA"
MWANADADA anayetamba katika filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kero yake kubwa ni utumiaji wa simu za mkononi na anasumbuliwa sana na watu wasiokuwa na mambo ya msingi.Akizungumza jijini...
View ArticleSipati Hamu Japo Napenda Ngono, Nitafikaje kileleni?
Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda...
View ArticleMASKINI HUYU MREMBO HAYA NDIO YALIYOMKUTA FACEBOOK.INATIA HURUMA KWA KWELI.
WITO umetolewa angalieni marafiki mnaokutana nao katika mitandao, hasa facebook itawamaliza wanawake. Mwanafunzi mmoja wa Shahada ya Sheria kutoka Abuja amefikwa na Umauti baada ya kula kinachosadikiwa...
View ArticleBEYONCE NOMA,AVUNJA RECORD YA ITUNES NDANI YA WEEK BAADA YA KUTOA ALBUM KWA...
Beyonce broke iTunes record for most albums sold in the first week of release after selling 828,773 copies of her self titled 5th studio album 'Beyonce' in just three days.She celebrated the milestone...
View ArticleALINIOMBA NIMPIGE PICHA AKIWA NUSU UCHI, NA HII SIO MARA YA KWANZA....
Sisi ni majirani tumetokea kuzoeana tu kidogo kwakuwa mwenzangu yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo nilivyo hamia,lakini naona kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni mara ya tatu huyu dada...
View ArticleCANDY & CANDY KUZINDUA FILAMU MPYA YA BABY MADAHA "THE GAL BLADDER"
Candy & Candy are launching their new movie which they say will be the biggest Blockbuster of the year entitled The Gal Bladder.The premiere is going to be a type of motion pictures in a red ca...
View ArticleHAYA NI MAZOEZI AU MAKUSUDI TU..!! WATU BWANAA..!!
Hata kama ni mazoezi ndio mtu ukae hivyo akitokea mtu kwa nyuma utasemaje, au utajitetea nini, yani hivi ni visa kabisaa.
View ArticleWEMA JEURI YA FEDHA KWISHA!, KIGOGO ANAYEMUWEKA MJINI AFILISIKA.
NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile jeuri ya fedha ya Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia hufanya vyema kwenye gemu la sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu inadaiwa...
View ArticleNILISAHAU KAMERA YANGU HOTELINI AMBAYO ILIKUWA NA PICHA ZANGU NYINGI ZA UTUPU.
Binti anayeonekana kwenye picha alikuwa na mpenzi wake hotelini, kama ilivyo kawaida wapenzi kupigana picha wakiwa kwenye mazingira mapya. Walipiga picha za utupu baadhi zilikuwa za bafuni wakioga....
View ArticleMBUNGE AMPONDA MISS TANZANIA KWA KUTOKUJUA KUONGEA KISWAHILI.
Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred hajui Kiswahili? Well, tuliowahi kukaa naye kidogo tunaweza kumtetea kuwa anakijua haswaa, sema hupendelea zaidi kuongea kimombo. Pengine ndio maana mbunge wa viti...
View Article