HII KALI YA MWAKA,MCHUNGAJI GWAJIMA KUTANGAZA INJILI KWA KUTUMIA HELICOPTER.
Josephat Gwajima.Wakati viongozi wa madhehebu ya dini ya Kikristo nchini, wakionekana kushindana kwa utajiri, hali inayowafanya waishi `kifalme’ na kufungua miradi, Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la...
View Article"SIWEZI KUSHINDANA NA DIAMOND KWASABABU MIMI SIO MWIMBAJI"...WEMA.
Je wewe ni kati ya wanaoamini kuwa wapenzi ‘wa zamani’ Wema Sepetu na Diamond Platnumz wanashindana kwa namna yoyote? Star wa kipindi cha ‘In My Shoes’ Wema Sepetu ameshare ujumbe kwa wote wanaofikiria...
View ArticleMaelfu wamuaga shujaa wa Afrika Mandela.
Zaidi ya maraisa tisini wameungana na wananchi wa Afrika Kusini katika misa ya wafu ya Nelson Mandela na kusimulia kumbukumbu zao kwa Shujaa huyo wa Afrika.Akiongea kwenye mkusanyiko huo mjini Soweto,...
View ArticleKisa cha jamaa aliye muoa mwanamke asiye binadamu wa kawaida.
Jamaa mmoja alitoka Mbeya na kwenda Tanga kutafuta maisha, kufika kule akapata bahati ya kuwa meneja katika kiwanda kimoja maarufu pale jijini.Kijana huyu alikuwa ni mtu wa kujirusha sana na alikuwa...
View ArticlePolisi 5 wauawa mpakani mwa Kenya na Somalia.
Idara ya polisi nchini Kenya imesema kuwa polisi watano na raia wawili wameuawa katika shambulio dhidi yao kwenye mpaka wa Kenya na Somalia.Polisi wengine wawili hawajulikani waliko.Shambulizi hilo...
View ArticleMSANII WA BONGO AFANYIWA KITU MBAYA NA WAHUNI, AKUTWA AKIWA HOI HAJITAMBUI...
DUNIA kweli haina huruma! Kitendo alichofanyiwa mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia ya jijini Dar anayejulikana kwa jina moja la Flora alfajiri ya kuamkia Desemba 8, mwaka huu ni kibaya katika jamii...
View ArticleRais Jacob Zuma wa Afrika Kusini Azomewa Kwenye Kumbukumbu ya Mandela.AIBU.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alikuwa akizomewa na watu wakati alipokuwa anaingia kwenye uwanja wa FNB uliopo Soweto.Kwenye kipande cha video hiyo ya sekunde chache, Kgalema Motlanthe, Thabo Mbeki...
View ArticleMke wa Obama Aleta Wivu kwa Waziri Mkuu wa Denmark.
Wakati viongozi mbalimbali Duniani walipokuwa kwenye maadhimisho ya kufurahia maisha ya kiongozi wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela, mitandao ya kijamii nayo ilikuwa na yake zaidi ya kufatilia na...
View ArticleCristiano Ronaldo Avunja Rekodi Klabu Bingwa ya Ulaya.
Nyota wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amekiri kuwa kilikuwa ni kitu "maalum" kwa yeye kuweka rekodi mpya ya ufungaji wa magoli kwenye hatua ya makundi ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa...
View ArticleULINZI KWENYE MAZISHI YA MANDELA NI TISHIO.
Stori: Mwandishi Wetu na vyanzo vya kimataifaJINSI vikosi vya ulinzi na usalama nchini Afrika Kusini vinavyopiga jeramba kujiandaa na tukio kubwa duniani la mazishi ya shujaa wa vizazi vyote, Nelson...
View ArticleUKWELI KUHUSU KIFO CHA MZEE SMALL IKO HAPA!!
Mzee Small akiwa na mkewe.KUNA taarifa zilizagaa kuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amefariki dunia.Taarifa hizo ni za uongo na uzushi maana mwandishi wetu...
View Article"NATAFUTA MIMBA KWA NJIA YOYOTE".....LINAH.
Estelina Sanga ‘Linah’.STAA wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ juzikati ameweka wazi nia yake ya kusaka mtoto.Akizungumza na mwandishi wetu Desemba 9, mwaka huu jijini Dar, Linah alisema tangu...
View ArticleRibery Atajwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka Ufaransa.
Mshambuliaji wa Bayern Munich, Franck Ribery, ametajwa kuwa mchezaji bora wa mwaka nchini Ufaransa na Jarida la Mpira wa Miguu la Ufaransa.Ribery mwenye umri wa miaka 30 amewapiku viungo wawili Paul...
View ArticleR.Kelly Afanya Kosa Kubwa Ambalo Hatolisahau.
Hivi ndivyo ambavyo hutokea wakati biashara kwa njia ya vyombo vya habari inapokwenda ndivyo sivyo.Mwanamuziki R.Kelly siku za nyuma kidogo alielezea juu ya mpango wake aliouita #AskRKelly ambao...
View ArticleMwanamke Aliyetengeneza Nepi Ya Dawa Za Kulevya Na Kuivaa Akamatwa.
Mwanamke huyu aliyeshawahi kukamatwa mara nane kwa makosa tofauti alikamatwawiki chache zilizopita akijaribu kuingiza dawa za kulevya nchini Marekani kwa njia ya kuvaa nepi ya watoto iliyotengenezwa na...
View ArticleMike Tyson Azuiwa Kuingia Uingereza, Fuatilia Sababu Hapa.
Bingwa wa zamani wa ngumi uzito wa juu Mike Tyson amelazimika kujiondoa katika tukio la kujinadi jijini London nchini Uingereza baada yakuzuiwa kuingia nchini Uingereza kwa sababu amewahi kutiwa...
View ArticleManji atangaza kutowania tena nafasi yoyote ya Uongozi Yanga.
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuph Mehboub Manji ametangaza kutowanio tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo mwakani.Yusuph Manji amesema maamuzi ya kutowania tena nafasi ya uongozi...
View ArticleUruguay yawa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha uuzaji na utengezaji wa bangi.
Uruguay imekuwa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha uuzaji na utengenezaji wa bangi.Bunge la nchi hiyo limeupitisha muswada unahalalisha bangi kwa kura 16 kwa 13 jana jioni.Chini ya sheria hiyo mpya,...
View ArticleIkulu ya Marekani yasema Obama kushikana mkono na rais wa Cuba kwenye msiba...
Ikulu ya Marekani imelitolea ufafanuzi tukio la Rais Obama kushikana mkono na rais wa Cuba Raul Castro, walipokutana Afrika Kusini kutoa heshima zao kwa Nelson Mandela.Tamko la Ikulu ya Marekani...
View Article