Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mike Tyson Azuiwa Kuingia Uingereza, Fuatilia Sababu Hapa.

$
0
0
Bingwa wa zamani wa ngumi uzito wa juu Mike Tyson amelazimika kujiondoa katika tukio la
kujinadi jijini London nchini Uingereza baada ya
kuzuiwa kuingia nchini Uingereza kwa sababu amewahi kutiwa hatiani nchini humo.

Tyson alitarajiwa kuhudhuria tukio la kutangaza kitabu chake ambapo bondia huyo bingwa wa zamani alitumikia kifungo jela miaka mitatu baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka sita kwa kosa la kumbaka mshindani wa ulimbwende kwenye jimbo la indiana nchini Marekani mwaka 1992.

Mtu yeyeto ambaye amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka minne haruhusiwi kuingia Nchini Uingereza kulingana na sheria za uhamiaje za nchi hiyo.


Bofya hapa kulike page yetu ili upate habari kwa wakati>>>https://www.facebook.com/pages/Djaro-Arungu/311726042292359?ref=hl

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Latest Images

Trending Articles