Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mwanamke Aliyetengeneza Nepi Ya Dawa Za Kulevya Na Kuivaa Akamatwa.

$
0
0
Mwanamke huyu aliyeshawahi kukamatwa mara nane kwa makosa tofauti alikamatwawiki chache zilizopita akijaribu kuingiza dawa za kulevya nchini Marekani kwa njia ya kuvaa nepi ya watoto iliyotengenezwa na kujazwa dawa za kulevya aina ya Cocaine.
 

Michelle Blassingale alikamatwa mwezi wa kwanza mwaka huu akijaribu kupita uwanja wa ndege wa Kennedy. Amehukumiwa miaka miwili jela.


Bofya hapa kulike page yetu ili upate habari kwa wakati>>> @https://www.facebook.com/pages/Djaro-Arungu/311726042292359?ref=hl

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles