Justin Timberlake ni mmoja wa wamiliki wa mtandao wa Myspace.
Justin Timberlake ni mmoja wa wamiliki wa mtandao wa Myspace baada ya kuwa sehemu ya timu iliyoununua kutoka kampuni ya News Corp kwa gharama ya dola milioni 35.Timberlake anaumiliki mtandao huo...
View ArticleHuyu Mtangazaji wa Radio aelezea jinsi alivyokishuhudia chumba cha gereza...
Mtangazaji wa kipindi cha Maskani cha 100.5 Times Fm, Gardner G. Habash aka Captain ameelezea jinsi anavyomkumbuka rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.Captain G. Habash ameiambia...
View ArticleMTOTO ALIYELELEWA NA MBWA AZIDI KUTESEKA.
Stori: Denis Mtima na Chande AbdallaMTOTO Kulendya Rojason (3) ambaye siku za nyuma aliwahi kuripotiwa na vyombo vya habari kuwahi kulelewa na mbwa baada ya wazazi wake kumtelekeza yeye na ndugu zake,...
View ArticleMR BOND NAYE AFUNGUKA KUHUSU MINONG'ONO YA PENZI LAKE NA WASTARA..APONDA BLOG...
"Kila jambo lina muda na wakati wake.. usilazimishe kurudisha saa nyuma wakati ulishachelewa....kubali kushindwa na jipange upya ili upate kushinda siku nyingine..thanx Wastara kwa kufanya kazi yangu...
View ArticleDIAMOND PLANTINUMZ ANOGESHA SIKU YA KUZALIWA YA MWANAMUZIKI K-LYNN.
Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa...
View ArticleHuyu Msanii wa Vituko show baada ya kupata kipigo cha paka mwizi toka kwa...
Hivi majuzi aliripotiwa kambini na muendesha baiskeli (bodaboda) kwamba alimkodi akamwambia ampeleke Usagara maeneo akanywe bia mara bodaboda anashangaa anaelekezwa mitaa isio na dalili yeyote ya...
View ArticleKILIMANJARO STARS IMEWAVUA UGANDA UBINGWA WA CHALLENGE.
TIMU ya Tanzania Bara,(Kilimanjaro Stars) imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Challenge baada ya kumtupa nje ya mashindano hayo Bingwa mtetezi timu ya Uganda The Crenes...
View ArticleWEMA KAMISS PENZI LA DIAMOND.TAZAMA PICHA ALIYOPOST NA MANENO ALIYOANDIKA.
Mcheza filamu za kibongo Wema Sepetu ametuma picha ya mpenzi wake wa zaman mwanamuziki Diamond Platnamu kwenye akaunti.yake ya instagram na kuandika,“ i jus happen to love dis picture“baada ya kuweka...
View ArticleKombe la Dunia Brazil Mechi Kuwa na Mapumziko Ndani ya Mchezo (Timeouts)
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Jerôme Valcke, amesema kama ikitokea kwenye mechi wakati inaendelea na kukawa na joto kali, michezo kwenye baadhi ya mechi za Kombe la Dunia...
View ArticleNELSON MANDELA KUZIKWA DECEMBER 15 MWAKA HUU.
Kiongozi mpinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela atazikwa mnamo siku ya Jumapili, December 15, nyumbani kwo Qunu, na ibada ya kumuombea itafanyika kwenye uwanja wa Johannesburg...
View ArticleDrake Kujenga Studio Kwenye Shule Yenye Wanafunzi Hatari Zaidi Marekani.
Rapper Drake wa Young money amesema amehamasika kuisaidia shule ya hatari sana nchini marekani baada ya kuona taarifa ya shule na mazingira yake kwenye vyombo vya habari.Drake ametangaza kujenga studio...
View ArticleMANCHESTER WANATAMANI SIR ALEX FUGERSON ARUDI TENA.ONA KILICHOWAKUTA TENA...
Manchester United imeendelea kuwa na msimu mbaya baada ya kupigwa bao 1-0 katika mechi iliyomalizika muda mfupi uliopita kwenye Uwanja wa Old Trafford wakati ilipokuwa ikipambana na Newcastle United...
View ArticleMWALIMU AKUTWA MTUPU SHULENI HUKU AKIWA KATIKA USINGIZI MZITO.
MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Rutamba, Wilaya ya Lindi amekutwa akiwa na nguo za ndani pekee katika usingizi mzito kwenye kibao cha shule hiyo huku akiwa hajitambui kwa madai ya kilichomkutana...
View ArticleHUYU MSANII ANAMTAKA NINI RAIS OBAMA JAMANI.ONA ALICHOSEMA JUU YA OBAMA.HAYA...
Rapper Kanye West amemtolea Uvivu Rais Barack Obama wa Marekani kwa kumzuia kutaja jina lake popote na wala la Mpenzi wake Kim Kardashian...Hii inakuja kama ni kujibu mapigo baada ya raisi wa marekani...
View ArticleKOCHA WA MANCHESTER UNITED AKALIA KUTI KAVU-ASISITIZA NI LAZIMA ASAJILI...
Nchini England mabingwa watetezi wa Ligi ya nchi Hiyo Manchester United wameendelea na mwanzo mbaya wa ligi hiyo baada ya Jana kukubali kipigo cha bao moja bila toka kwa Newcastle United .Bao pekee...
View ArticleBOB JUNIOR ADAIWA KUVAA NGUO ZA MKOPO.
Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa Muziki na Mmiliki wa Studio ya Sharobaro Records Bob Junior ameingia katika Aibu Ingine baada ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai Linamdai Msanii huyo...
View ArticleHIVI NDIVYO WAGANDA WALIVYOTAKA 'KUMUUA' MRISHO NGASSA JANA HUKO MOMBASSA.
Mfungaji wa mabao mawili ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars katika sare ya 2-2 na Uganda, The Cranes kwenye Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge, Mrisho...
View ArticleMBUNGE AMSHAURI RAIS KIKWETE KUMG'OA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA.
Rais Jakaya Kikwete, ameshauriwa kumng’oa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ikielezwa sababu kuwa ndiye kikwazo katika utendaji wa Serikali na kwamba akiachwa ataipeleka pabaya Serikali na CCM.Kikwete pia...
View ArticleSINTASAHAU HUYU MDADA NIMEMVULIA KOFIA.
Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu ananipenda kwa dhati, mie...
View Article50 Cent Aonyesha Cheni Yake ya Kilo Mbili za Almasi.
Rapa toka Marekani, ambaye pia ni mjasiriamali, muwekezaji na muigizaji 50 Cent sio tu kwamba ni tajiri, ila ni tajiri kupindukia.Nyota huyo hivi karibuni alidhihirisha hilo kwa kuonyesha cheni yake...
View Article