ANTI LULU ATUNDIKWA MIMBA.
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya MSANII wa filamu, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ baada ya kurukaruka sana, sasa inadaiwa ni mjamzito wa takribani miezi mitano.Akilinyetishia Ijumaa juu ya ishu...
View ArticleNyimbo 14 za wasanii wa Hip Hop Nchini Marekani zilizotaja jina la Nelson...
Jina la Nelson Mandela, rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini lilikuwa na litaendelea kuwa maarufu dunia nzima. Hizi ni baadhi ya nyimbo za wasanii wakubwa wa hip hop nchini Marekani waliowahi...
View ArticleNicki Minaj aandika 'Kiswahili' kwenye post yake kuhusu jinsi anavyomkumbuka...
First Lady wa Young Money/ Cash Money Brothers Nicki Minaj ameonesha jinsi gani anavyoikubali lugha ya Kiswahili kama lugha inayowakilisha Uafrika.Nicki Minaj ameandika maneno ya Kiswahili “Madaraka...
View ArticleTunda Man asema ana mkataba wa kiroho Tip Top, aeleza tofauti ya mikataba ya...
Member wa Tip Top Connection, Tunda Man ameelezea tofauti ya mikataba ya wasanii kati ya Tanzania na Kenya na kueleza kuwa Kenya wako serious na makini kuliko Tanzania.Tunda Man amesema kuwa yeye...
View ArticleHISTORIA FUPI YA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI NELSON MANDELA.
Nelson Mandela atakumbukwa kwa Juhudi zake katika kuleta Ukombozi Barani Afrika na bado anabaki kama Alama ya Ushindi kwa Bara hilo huku Akiwaachia Simanzi kubwa Wakazi wa Nchi Hiyo ambao Mpaka sasa...
View ArticleJustin Bieber aliwaomba Blackberry awe balozi wao mwaka 2007 wakakataa, sasa...
Kama mwenyekiti mtendaji wa record label aliyewakataa Beatles, kulikuwepo na mkuu wa masoko aliyekuwa akifanya kazi na RIM (sasa hivi BlackBerry) aliyeichezea siku aliyosikia jina "Justin Bieber".Kwa...
View ArticleFilamu 6 zilizowahi kuigiza maisha ya Nelson Mandela.
Watengezaji wa filamu wamekuwa wakivutiwa na maisha na historia ya Nelson Mandela katika kupambana na ubaguzi wa rangi kabla hajatoka jela mwaka 1990.Na baada ya kuwa Rais wa Afrika Kusini historia...
View ArticleWanaume Wamevaa Hivi Ili Kuadhimisha Mwezi Wa Wanawake Duniani.
Ili kuonyesha uelewa na jinsi wanavyo thamini mchango wa wanawake kwenye maisha yao wanaume hawa wamekubali kuvaa viatu vya kike aina ya High Hill [Skuna] ilikuonyesha wako tayari kupitiatabu na...
View ArticleAlbum Ya Kanye West Yatajwa Kama Cd Bora Ya Mwaka 2013.
Jarida la Rolling Stone limataja album kubwa na bora za mwaka 2013 baada ya uchunguzi kufanyika kupitia mauzo bora, mapokezi ya album sokoni na mitaani, Ilivyozungumziwa na kutajwa zaidi kwenye...
View ArticleIKIWA LEO NI SIKU YAKE YA KUZALIWA..., JACKLINE WOLPER APATA AJALI AKIWA...
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu hapa nchini Jacklyn Wolper.Kupitia kwenye instagram Desemba 6 amepost picha ambayo ikionesha amenusurika...
View ArticleMIAKA IJAYO MAHOUSE GIRL NDIO WATAKUWA WAKE WA KUOA.
Kama nilivyo elezea kwenye kichwa cha habari hapo juu,siku hizi watu wengi wamekuwa na mtindo wa kuajiri wasichana wa kazi (mahouse girl) ili kusaidia kazi za nyumbani.Ndio hatukatai pengine mama...
View ArticleDK SLAA APOKEWA NA MABANGO KIGOMA YANAYOMTAKA YEYE NA MBOWE WAJIUZULU.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa amepokewa kwa mabango katika mkutano wake wa hadhara wilayani Kakonko, Kigoma lakini akawaambia waliofanya hivyo kuwa chama...
View ArticleUkichaa Mwengine kwa Hiki Kinachoitwa Fasheni.
Mambo yanaendelea kuvurugika kwa hiki kitu kiitwacho fasheni, hebu nambie ni kipi hasa kinachovutia kwenye kivazi hiki...?
View ArticleMakundi ya kombe la dunia 2014 yametangazwa.Timu za Afrika Kazi ipo!!
June – July 2014 ndio fainali za kombe la dunia huko Brazil ambapo makundi yameshapangwa tayari, cheki mzigo wenyewe ulivyopangwa…
View ArticlePicha 19 za Nelson Mandela akiwa na watu mbalimbali maarufu duniani.
Nelson Mandela kutokana na historia yake ya harakati za kutokomeza ubaguzi wa rangi Afrika Kusini alivutia watu wengi sana hata wale maarufu wa dunia ambao walifanya juu chini kumtembelea Mzee Mandela...
View ArticleMUONEKANO WA MABASI YAENDAYO KASI YATAKAYO TUMIKA BONGO.PICHA NA HABARI ZIKO...
Mabasi ya mwendo kasi 2014 kimara kivukoni. Picha kwa hisani ya Deo Mutta MwanatangaBasi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo kasi limewasili nchini na kuanza kufanya majaribio katika barabara...
View ArticlePESA ZA WATEJA WA M-PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY NA Z-PESA WANAO FARIKI...
Kutokana na makampuni karibu yote ya simu Tz kuwa na huduma hizi za mobile money, Je inapotokea mteja amefariki, makampuni yanawajibika vipi kuhusu kurudisha pesa za mteja wao kwa msimamizi wa mirathi...
View ArticleMTIHANI UNAOWAKABILI BAADHI YA WANAWAKE WAINGIAPO KATIKA MAHUSIANO MAPYA.
Ni pale mwanaume anapoonyesha tamaa kubwa ya ngono na kulazimisha kukutana kimwili wakati mwanamke aliweka msimamo wa kutokutana kimwili na mwanaume yeyote mpaka baada ya muda fulani tangu kufahamiana...
View ArticleMAZISHI YA MAREHEMU NELSON MANDELA KUVUNJA RECORD.
Afrika na dunia inatarajiwa kushuhudia kitu kipya katika maziko ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela (95) aliyefariki dunia juzi, baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi sita.Serikali ya...
View ArticleJohn Walker na Ras Lion kuja na kipindi cha TV cha comedy 'Kibombonya'
Baada ya kuwavunja mbavu watu kupitia nyimbo zao, John Walker na Ras Lion wameamua kuingia kwenye tasnia ya filamu na kufanya kipindi cha comedy walichokipa jina la ‘Kibombonya’.John Walker amesema...
View Article