Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA MWONEKANO WA MTANGAZAJI WA TBC FM D' JARO ARUNGU A.k.a BABA MZAZI

Huyu jamaa ni Shiiiiida! Yani kwenye kipindi chake ukifungulia TBC FM huchoki kumsikiliza ni hatareeeeeee...!!!MTANGAZAJI WA TBC FM D' JARO ARUNGU Nipe tranooooooooo...!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tabora wamkataa Nuh Mziwanda......Wasema hawezi kuwa mume wa Shilole

Nuh Mziwanda jana alijikuta katika wakati mgumu mjini Tabora baada ya Shilole kuwauliza wakazi wa mkoa huo anakotokea iwapo Nuh Mziwanda anafaa kuwa mume wake.Shilole ambaye ni mchumba wa Nuh...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuhuma za Usagaji: Aunt Lulu Ampigia Magoti mama yake

Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kivazi Cha Jini Kabula Aibu Tupu....."Maziwa" Yote Nje!

Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichomuacha wazi mwili wake. Jini Kabula alitinga kivazi hicho kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Uzinduzi wa Video Mbili za Profesa Jay Ulivyokonga Nyoyo za Mashabiki

Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamasha la SereNgeti Fiesta 2014 Ladondosha burudani ya Nguvu kwa Wakazi wa...

Ilikuwa buruuudani ya kusambaza upendo wa kweli kwa wakazi wa Tabora ndani ya tamasha la Fiesta Msanii mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye Kadja ambaye anatamba na wimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRAFIKI ALIYEGONGWA NA DALADALA JANA, AFARIKI DUNIA

WP 2806 CPL Riziki, akiwa chini baada ya kugongwa na daladala eneo la Mbagala Rangi 3 jana kabla ya kukimbizwa hospitali.ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA AMTOA MWANAYE KAFARA AWE TAJIRI!

MY God! Hali huenda ikigeuka, wakati jamii inaamini akina baba ndiyo wenye tabia ya kutokuwa na uchungu kwa watoto, imekuwa tofauti kwa mama huyu!Ni mkazi mmoja wa Kijiji cha Mwanamonga, Kata ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA AJITOKEZA KWENYEZA KWENYE MAZISHI YAKE

Katika hali isiyo ya kawaida, maeneo ya Tandale Kwatumbo jijini Dar, waombolezaji hawakuamini macho yao wakati walipomuona ‘marehemu’ Mohamed Salum ‘Fido’ (29) (pichani), akirejea nyumbani hapo huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Damu Yamwagika tena Mkoani Geita.....Mvuta Bangi Aua Watu watatu na kumjeruhi...

Matukio ya mauaji ya watu wasio na hatia, yameendelea kuuandama Mkoa wa Geita, kufuatia watu watatu kuuawa kwa kukatwa mapanga na kuchomwa mkuki huku mmoja akijeruhiwa baada ya mtu mmoja anayesadikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE MCHAWI ADONDOKA KANISANI AKIWA NA TUNGULI ZAKE

Ni kwenye Kanisa la Paradise Internation Ministries lililoko Karakata Ukonga jijini Dar, mwanamke mmoja (pichani) anayedaiwa mchawi alidondoka usiku wa saa saba na kujikuta hawezi kutembea. Tukio hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbowe kujifanya Amiri Jeshi Mkuu na kutangaza Vita ya Maandamano.....Wasema...

KAULI ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ya kuagiza yafanyike maandamano na migomo nchi nzima bila kikomo, ikiwezekana hata bila ya kibali cha Polisi, imelichefua Jeshi la Polisi.   Jeshi hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Kituo cha Polisi Anusurika Kuuawa na Wananchi baada ya kufamaniwa...

Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kilichopo katika kata ya Katoma wilayani Geita mkoani Geita amenusurika kuuawa na wananchi wenye  hasira kali  baada ya kukutwa akitaka kufanya mapenzi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askari Watatu Wajeruhiwa kwa Bomu Songea, Ruvuma

Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuimarisha ulinzi Eneo la tukio  likiwa limezungushiwa alama na Jeshi la Polisi.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwangu akizungumza jambo na waandishi wa habari katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandamano ya CHADEMA Yaliyopangwa Kufanyika Leo yamepigwa Marufuku.....Vyuo...

Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini.  Jeshi hilo limeonya kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wawili Wafa katika AJALI Wakitoka kuzika mwenzao Musoma

Watu wawili wamekufa na wengine watano kujeruhiwa baada ya magari mawili, likiwamo basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.  Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pingamizi la Mwanasheria Mkuu dhidi ya TLS Latupiliwa Mbali

Pingamizi la Mwanasheria Mkuu (AG) dhidi ya ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mkoani Dodoma limetupiliwa mbali katika Mahakama Kuu Kanda ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtuhumiwa Kesi ya Ugaidi Awalalamikia Polisi kwa Kumminya Sehemu zake za Siri...

 Mtuhumiwa katika kesi ya ugaidi, Abdallah Maginga, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kumruhusu kutohudhuria siku za kesi na abaki magereza, kutokana na maumivu makali anayodai anayapata sehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII HUYU MPYA WA FILAMU ZA BONGO ATABIRIWA KUWA TISHIO KWA WAKONGWE

Kila kukicha katika tasnia ya filamu bongo kumekuwa kukichipukia wasanii wapya ambao wamekuwa wakileta mapinduzi kwa wakongwe wa tasnia hiyo kwa namna moja ama nyingine.Hali hiyo imekuwa ikileta ladha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Update: Polisi Wavamia Ofisi za CHADEMA Mkoani Morogoro

Habari  zilizotufikia  hivi  punde  zinaarifu  kuwa  Polisi wamevamia    ofisi  za  CHADEMA  wilaya  ya  Morogoro  na  kuwakamata  Viongozi  waandamizi  Watano  wa  chama  hicho  waliokuwa  wakijiandaa...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live