Jela Miaka 15 kwa kumchezea mtoto Sehemu za Siri
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za...
View ArticleMCHEKI DIAMOND AKIFANYA INTERVIEW KWA KIZUNGU: JAMAA KUMBE MKALI!!!!!!!!!!
Unaweza ukawa unajiuliza maswali mengi sana juu ya uwezo wa mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kutumia na kuimudu lugha ambayo ni shida sana miongoni mwa watanzania wengi, sio lugha nyingine bali ni...
View ArticleHAYA NDIO YA MOYONI YA Q-CHILLAH
Msanii wa Bongo fleva aliyetamba na hits Song kibao Q chillah amefunguka na kusema kuwa ameacha kweli kutumia madawa ya kulevya na kamwe hawezi kurudia tena maana madawa hayo yalimfanya kuwa na maisha...
View ArticleHUU NI MSIMU WA NEEMA KWA Q-CHIEF: ALAMBA MKATABA MNONO KWELIKWELI
Q Chief akiwa na Joseph MhondaMsanii wa muziki wa Bongofleva Abubakari Katwila almaarufu kama Q Chief amevunja ukimya kwa kupata dili la mkataba wa mamilioni na kampuni ambayo itakuwa ikisimamia kazi...
View ArticleMoto wateketeza vyumba 20 vya kulala wanafunzi
Vyumba 20 vya bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya African Muslim, iliyoko Kata ya Kaloleni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, vimeteketea kwa moto. Moto huo ambao ulizuka juzi saa...
View ArticleMsako wa Bodaboda Zenye Namba za Njano Waanza
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imesema usajili wa pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ utafanywa pamoja na kukagua namba zenye rangi ya njano huku zikiwa zinafanya...
View ArticleEsha Buheti Apigwa Vijembe kwa kuwa na makalio madogo.....Mwenyewe ajitetea,...
Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake. Akiongea na mwandishi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu...
View ArticleTatizo ni Anaconda? Mkuu wa shule aliyosoma Nicki Minaj amkatalia kuongea na...
Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma. Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya mkuu wa shule hiyo kulikataa ombi lake la...
View ArticleDereva atakaye kamatwa akiendesha gari huku akiongea na simu Atafutiwa Leseni...
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya usafiri wa Nchi kavu na Majini SUMATRA limeanzisha mkakati wa kuwafungia leseni madereva watakaobanika kuendesha magari huku...
View ArticleOscar Pistorius apatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake bila kukusudia
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp bila kukusudia.Akitoa uamuzi wake jaji Thokozile Masipaal alisema kuwa mwanariadha huyo...
View ArticleMsikiti mkubwa wa Mtambani Kinondoni Waungua Tena
Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es Saam uliungua kwa mara ya pili leo. Msikiti huo uliungua kwa mara ya kwanza mnamo Agosti 13, 2014 katika ghorofa yake ya juu na kuteketeza...
View ArticleSteve Nyerere ajiuzulu Urais Bongo Movies
Muigizaji wa filamu za Kiswahili, Steve Nyerere aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity ameamua kujiuzulu nafasi hiyo. Steve ameeleza uamuzi wake kupitia Instagram bila kutoa sababu zilizopelekea...
View ArticleJuma Nature azungumzia uwezekano wa kufanya collabo na Wanaume Family
Miaka kadhaa imepita tangu kundi la Wanaume TMK livunjike na kuzaa makundi mawili ya Wanaume Family na Wanaume Halisi ambayo kwa kipindi cha nyuma yalionekana kuwa na uhasama.Rapper/mwimbaji mkongwe wa...
View ArticleBig Brother Africa kuzinduliwa Tarehe 5 Mwezi juao
Shindano la Big Brother Hotshots litazinduliwa October 5, makampuni ya M-Net na Endemol SA yamesema.Makampuni hayo yamedai kuwa nyumba mpya ya Big Brother imepatikana jijini Johannesburg, Afrika Kusini...
View ArticleYANGA YAICHAPA AZAM 3-0, YATWAA NGAO YA JAMII
KIKOSI cha Yanga SC kimetwaa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa timu ya Azam FC mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi punde.Mabao ya Yanga yamefungwa na Geilson...
View ArticleShilole Amfanyia MAHABA NIUE Nuh Mziwanda...Mcheki akiwa ndani ya Bikini,...
Kupitia Account yake ya Instagram, Shilole amezitupia hizi picha akiwa na Jamaa yake( Nuh Mziwanda) huku mashabiki wake zaidi ya laki moja wakiambulia kusuuza macho kwenye mapaja...
View ArticleMANCHESTER UNITED 4-0 QPR
Mpira uliopigwa na Angel di Maria ukijaa nyavuni na kuifanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya QPR. Ander Herrera akiifungia Manchester bao la pili.Manchester United wakishangilia bao lao la tatu...
View ArticleHuddah Monroe Azindua Vazi lake jipya Akiwa Uchi wa Mnyama!
Msanii maarufu wa Kenya, Huddah Monroe amezindua vazi lake jipya kwa staili ya kipekee na ya aina yake..... Katika uzinduzi huo, mrembo huyo ameamua kujianika hadharani akiwa...
View ArticleInaumiza Na Kukatisha Tamaa Tunapoandikwa Kwa Habari Za Uongo Kwenye Magazeti...
Muigizaji maarufu wa filamu Tanzania 'Johari' Blandina Chagula amsema kuwa kuandikwa vibaya na uzushi kwa mambo yanayodhalilisha ndiyo mambo yanayokwaza na kukatisha tamaa katika uigizaji.Akizungumza...
View ArticleSerengeti Fiesta 2014 Yafunika Ndani ya Geita
Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini.Ommy Dimpoz akiimba kwa pamoja na mrembo kutoka pande za Geita nyimbo ya ME & YOU. Niki wa Pili akiwakilisha Crew ya Weusi....
View Article