Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Esha Buheti Apigwa Vijembe kwa kuwa na makalio madogo.....Mwenyewe ajitetea, asema Mwanamke sura Makalio ni majaaliwa

$
0
0


Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake.

Akiongea  na  mwandishi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu wanaoponda maeneo hayo ya mwili wake kwani kwa upande wake anaamini kuwa mwanamke sura, makalio majaaliwa kwani hata mwanaume aliyemuoa analijua hilo na anampenda jinsi alivyo.
 
“Kwa kuwa mume wangu ananikubali jinsi nilivyo hainiumizi kichwa kwani mimi naamini sifa ya mwanamke ni tabia na wala siyo shepu kama wengine wanavyofikiria,” alisema Esha. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles