Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Tuhuma za Usagaji: Aunt Lulu Ampigia Magoti mama yake

$
0
0



Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi.

Akizungumza na Global publisher, Aunty Lulu alisema mama yake ana ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha katika eneo hilo ili asiweze kumkwaza tena mzazi wake huyo.
 
“Najua nimemuumiza sana mama yangu, nachukua fursa hii kumuomba sana samahani kwa kuwa najua aliumia sana kutokana na habari hiyo laki

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles