ATCL yapata ndege mpya, Yaanza utekelezaji wa mkakati wa kuimarisha huduma zake
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Taifa Air Tanzania (ATCL) wakisheherekea mara baada ya kuwasili kwa ndege mpya ya shirika hilo aina ya CRJ-200, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
View ArticleHALL AKIRI LIGI KUU MSIMU HUU NI BORA, APONDA UBABAISHAJI WA VIONGOZI SOKA LA...
Kocha wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Azam fc, Sterwart John Hall WAKATI ligi kuu soka Tanzania bara ikiwa wakati wa magharibi kwa maana ya lala salama, aliyekuwa kocha wa zamani wa Timu ya...
View ArticleAIBU FAHAMU MAKAHABA WANAONGOZA KWA KUJIUZA MKOANI DODOMA...!!NOUMAA SANA..!
Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara...
View ArticleLULU ADAI KUWA KWA SASA HATESWI TENA NA MAREHEMU KANUMBA...!!
Elizabeth Michael ‘Lulu’. Stori: Mayasa Mariwata ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kwa sasa hateswi na kumbukumbu ya tukio la marehemu Steven Kanumba kama ilivyokuwa zamani.Alipobanwa kuhusu...
View ArticleMAIMARTHA ATIWA MBARONI
Maimartha Jesse. Mtangazaji maarufu wa Runinga Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiwekwa nyuma ya nondo kwa madai ya kumtapeli dada mmoja aliyetambulika kwa jina la Zai, mkazi wa Zanzibar.Chanzo makini...
View ArticleMaalim Hussein Yahya ameanika nyota za baadhi ya mastaa wa Bongo katika...
Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya. Akizungumza na mapaparazi wetu katikati ya wiki hii ofisini kwake Magomeni-Mwembechai jijini Dar, Maalim alitumia saa kadhaa kuangalia nyota ya mmoja baada...
View ArticleGAZETI LA MWANANCHI LAMUOMBA RADHI RAIS KIKWETE.
Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa Rais Jakaya Kikwete aliwatembea wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) jijini Dar es...
View ArticleWOLPER "WAZAZI WANGU NI MATAJARI HAWAHITAJI MSAADA WANGU"
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake.Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama ifuatavyo: “ Wazazi...
View ArticleFOLENI ZA MAGARI ZAZUA GONJWA JIPYA.
Wakati kukiwa na ongezeko kubwa la ununuzi wa magari na kusababisha idadi kubwa ya vyombo hivyo vya usafiri, foleni za magari nchini, hasa jijini Dar es Salaam, imefikia hatua ya kutisha huku...
View ArticleToni Kroos aipa mtihani mzito Man Utd.
Klabu ya Manchester United huenda ikafanikiwa kumpata kirahisi kiungo kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Bayern Munich Toni Kroos ambae hii leo ameweka wazi nia yake ya kutaka kucheza soka kwenye ligi...
View ArticleT.B Jushua adai ndege ya Malaysia iliyopotea kimaajabu imezama kwenye tope...
Wakati ambapo dunia ikiweka jitihada zote kuisaka ndege ya shirika la Malaysia aina ya Boing 777 iliyopotea ikiwa na watu 239 wakati ikielekea Beijing, mhubiri maarufu wa Nigeria T.B Joshua ametoa...
View ArticleAshanti amwagia Nelly 'mabusu' katika uzinduzi wa albam yake.
Inawezekana kabisa mbegu ya mapenzi aliyoipanda Nelly kwenye moyo wa mkali wa RnB Ashanti bado inaendelea kukua ingawa waliachana miaka kadhaa iliyopita.Katika party ya uzinduzi wa albam yake...
View ArticleJay Z kuwa 'Best Man' wa Kanye West kwenye ndoa yake kwa masharti ya...
Jay-Z amekubali kuwa best friend wa Kanye West katika sherehe za ndoa ya swahiba wake huyo na mwanamitindo Kim Kardashian itakayofanyika May mwaka huu lakini ametoa masharti ya kutooneshwa kwenye kituo...
View ArticleShakira asema boyfriend wake hataki ashikwe na mwanaume kwenye video.
Mwanamuziki wa kike ambaye ‘hips’ zake hazidanganyi anapocheza, Shakira ameeleza kuwa chanzo cha kufanya video na Rihanna aliyemshika kama mwanaume ‘Can’t Remember to Forget You’, ni wivu alionao...
View ArticleSiri ya mtungi yashindwa kung'ara kwenye AMVCAs 2014, angalia orodha kamili...
Tamthilia ya Tanzania ‘Siri ya Mtungi’ imeshindwa kung’ara kwenye AfricaMagic Viewers’ Awards 2014 zilizofanyika (March 8), jijini Lagos Nigeria.Siri ya Mtungi ilitajwa kuwania tuzo katika vipengele...
View ArticleMonalisa asema waigizaji Tanzania hukosa sapoti wanapowania tuzo kubwa Afrika.
Muigizaji anaetajwa kuwa kati ya waigizaji bora zaidi wa kike Tanzania, Yvonne Cherryl aka Monalisa ameeleza kuwa waigizaji wa Tanzania hushindwa kung’ara wanapotajwa kuwania tuzo kubwa Afrika kwa...
View ArticleVipimo vya DNA vyaonesha Michael Jackson ni baba mzazi wa mtoto wa rafiki yake.
Utata wa muda mrefu ulioibuka baada ya kijana anaejulikana kwa jina la Brandon Howard kudai kuwa Michael Jackson ndiye baba yake mzazi, vipimo vya DNA vimeonesha kuwa huo ni ukweli kwa asilimia...
View ArticleNGUO FUPI YAMTOKEA PUANI DADA HUYU.
Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha...
View ArticleMAMBO SITA USIYOYAFAHAMU KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA.
Kuna mambo ambayo watu hawajafahamishwa kuhusu ndege ya shirika la ndege la Malaysia (Malaysia Airlines) safari namba Flight 370 ambayo imepotea ikiwa eneo la juu ya bahari katika Ghuba ya Thailand na...
View ArticleLOWASSA AIKANA NOTI YA SH 500 YENYE PICHA YAKE BADALA YA RAIS.
Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mhe. Edward Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya...
View Article