Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

NGUO FUPI YAMTOKEA PUANI DADA HUYU.

$
0
0
Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu
mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha viungo adimu katika mwili...Huyu Dada alimfika baada ya kuvaa kimini na kukatiza mitaaa bila woga ....Ona kundi ka wanaume wenye uchi wakimfuata nyuma huku mate yakiwadondoka....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles