Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Ashanti amwagia Nelly 'mabusu' katika uzinduzi wa albam yake.

$
0
0
Katika party ya uzinduzi wa albam yake ‘Braveheart’, Ashanti alionekana akiongea na mtu kwa njia ya simu huku akimwagia mabusu kadhaa. Baada ya muda aliionesha ‘screen’ ya simu yake hadharani ili kumuonesha kila mtu na ikaonekana picha ya Nelly.
Hii ilimaanisha kuwa alikuwa anaongea na Nelly na kumfanyia yote hayo huku akitabasamu muda wote.
Bado haijajulikana moja kwa moja kama wawili hao wamerudiana tayari ama ni hatua za kutaka kurudiana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles