Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pastor aamua kuyakatili maisha ya mke wake mjamzito ili ampate muumini wake.

Mchungaji wa kanisa la Baptist Toronto, Canada aliamua kumuua mke wake ambaye ni mjamzito wa miezi mitano ili aweze kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja kati ya waumini wake.Philip ambaye tayari alianza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rungu lawageukia walinzi ishu ya MUGABE kuanguka kwenye ngazi…

Hii bado ni story ambayo imeendelea kukaa kwenye headlines, siku chache zimepita tangu Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe aanguke kwenye ngazi akiwa anashuka baada ya kuhutubia wananchi na wanachama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz zawa gumzo Mtandaoni.

Yeah tunafahamu kuwa ushemeji hauna kikomo lakini hizi picha zinazoonekana ni kama zimevuka mpaka wa ushemeji. Maswali mengi kutoka kwa mashabiki wao ni kuwa ni kweli Ommy na Wema wameamua kuanzisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kipimo rahisi zaidi kugundua kansa ya mapafu kiko Hapa!

Ugonjwa wa kansa ni moja ya magonjwa ambayo yanaongoza kwa kusababisha vifo nchi za Ulaya, kwa upande wa Tanzania imeonekana tatizo kuwa kubwa pia katika siku za hivi karibuni.Moja ya vitu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mastaa watatu wa soka wanaoongoza kuwa na followers zaidi ya milioni 10...

Mitandao ya kijamii ni moja ya njia ya mkato kwa mashabiki kuwafikia mastaa wao, mfano tumeona kwenye Instagram mastaa wakiweka picha, fans wao wanaweka like, comment zao basi wanaenjoy kutumia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video ya Sparrow akiwa na Makamua Iko Hapa,Wimbo Inaitwa Sparrow!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zaidi ya watu 200 wahofiwa kufariki kwenye ajali hii.

Hii ni ajali kubwa ya kwanza kutokea kwa mwaka 2015 ikihusisha vyombo vya majini kupata ajali na kuua watu wengi ambapo zaidi ya wahamiaji 200 wamefariki baada boti mbili walizokuwa wakisafiria kuzama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabingwa wa #AFCON2015 Ivory Coast hivi Nivyo Walivyopoklewa nyumbani kwao…

Mabingwa wa AFCON 2015 ni Ivory Coast, dunia nzima imewatambua baada ya ushindi wao wa penati 9-8 dhidi ya wakali wa Ghana, fainali ambazo zilichezwa FEB 9 ndani ya Equatorial Guinea.Rais wa Ivory...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nuhu Mziwanda:Siwezi Kumwacha Mtoto Mzuri Kama Shilole Kwa Kunipiga Kibao tu.

Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili“Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu Mrembo Amejiua baada ya Kukosa wa kumoa!

Matukio ya wanawake kukataa tamaa ya kuolewa na kujichukua sheria mkononi sasa yameanza kushika kasi, tumesikia stori ya mwanamke kuamua kuvaa shela la harusi na kukatiza nalo mitaani huku mwigine naye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agoma Kutoka Hospitali kwa Madai kuwa bado anaumwa na amekaa miaka mitatu...

Hebu pata picha, mtu analalamika kwamba anaumwa, akapewa kitanda Hospitali kwa ajili ya kupata matibabu, madaktari wanamwambia vipimo vinaonyesha kapona kabisa lakini yeye anasema bado anaumwa.Huyu ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake na Mtangazi Gadner G Habash.

SWALI: Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi?JIBU : Hatujaachana niliamua kumuachaSWALI: Kwanini umeachana/umemuacha mume?JIBU : Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa inatakiwa iwe na maelewano,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanaume Masikini na Wasiojiamini Wanaongoza Kutongoza kwa Meseji Nyingi...

Nimekaa sehemu leo napata lunch, mara dada mmoja mrembo aliyekuwa karibu yangu "kareact", "mameseji kibao halafu marefu, hayaeleweki.Unanijazia tu inbox, utakuwa masikini tu wewe halafu hujiamini".Dah,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dully Sykes: Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond, nashangaa wa TID na Q...

Dully Sykes amedai kushangazwa kusikia watu wazima kama TID na Q Chillah wakilumbana kwa jambo la miaka mingi iliyopita na kwamba mambo kama hayo wanapaswa kuwaachia wadogo zao mathalan Alikiba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO USIYOYAJUA JUU YA VALENTINES DAY!

Leo ni tarehe 14 ya mwezi wa pili, ni tarehe maarufu ambayo watu wengi hasahasa vijana wanaitambua!!NI SIKU YA WAPENDANAO…..#Katika siku hii ya wapendanao kuna mengi sana ya kutambua yanashangaza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miaka kumi ya mtandao wa YOUTUBE..

Mwanzo ilikuwa kitu cha kidogo na cha kawaida, Chad Hurley, Steve Chen na Jawed Karim hawakuwahi kuwa na ndoto kwamba kuna siku itakuwa ni kitu kikubwa ambayo dunia nzima itakiangalia.Unaambiwa video...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maneno ya Papa Francis kwa wanandoa wasio na watoto..

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani,Papa Francis amewalaumu wanandoa ambao wameamua kuishi bila kuwa na watoto, amesema uamuzi huo ni kitendo cha ubinafsi.Kauli hiyo ilimechukuliwa kama changamoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokea ya Kidato Cha Nne kwa Wanafunzi Waliomaliza Mwaka 2014 Yako Hapa!

Matokea ya Kidato cha nne kwa wanafunzi waliomaliza mwaka 2014 sasa yametolewa rasmi na baraza la mitihani Tanzania. Bofya hapo chini kuyaangaliaMATOKEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATM, Supermarket, Internet.. Hizi zote unaambiwa ndani ya Magereza China

Movie ya Shawshank Redemption ni moja ya movies ambazo story yake inahuzunisha, jamaa anakamatwa na kufungwa gerezani kwa kosa la mauaji ya mpenzi wake lakini kosa hilo hakulifanya yeye.Gerezani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kilichowakuta Mchungaji na waumini wake kwenye ibada ya mazishi makaburini..

Mhubiri mmoja huko Brazil, Alex Novais de Brito aliyekuwa akifanya mahubiri kwenye mazishi ya muumini wake amejikuta akishindwa kumaliza ibada hiyo baada ya udongo wa kaburi kudidimia na kufanya...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live