Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Picha za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz zawa gumzo Mtandaoni.

$
0
0

10953376_1045282048819620_3651501053188108847_n


Yeah tunafahamu kuwa ushemeji hauna kikomo lakini hizi picha zinazoonekana ni kama zimevuka mpaka wa ushemeji. Maswali mengi kutoka kwa mashabiki wao ni kuwa ni kweli Ommy na Wema wameamua kuanzisha uhusiano licha ya ukweli kwamba Ommy ni rafiki wa karibu na Diamond Platnumz? Haijawahi kuwa kitu cha kawaida kwa rafiki kuwa na uhusiano na ex wa rafiki yake.
Hata hivyo Wema anaonekana kufurahia muungano huu kwakuwa ameshapost picha kadhaa akiwa hitmaker huyo wa ‘Tupogo’ kwenye akaunti yake ya Instagram zilizosababisha mrejesho wenye kishindo.
10986287_665180156942527_1832502599_n
Jumatatu hii muigizaji huyo wa filamu amepost picha ya Ommy Dimpoz (hiyo juu) kama sehemu ya ‘Man Crush Monday’ (yaani siku maalum ambayo wanawake hutumia kuwataja wanaume wanaowazimia

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles