
Habari nyingine ni kwamba msichana huyu raia wa Uingereza ameamua kukatisha maisha yake kwa kujinyonga baada ya kufikisha miaka 29 huku akiwa hana dalili yoyote ya kuoelewa wala kupata mtoto.
Rachel Gow aliamua kuchukua uamuzi huo ikiwa ni miezi miwili imebaki kabla ya kuhitimisha miaka 30,na kifo chake kimetokana na kukata tamaa ya kuolewa pamoja na kifo cha mama yake mzazi ambacho kilimwongezea uchungu.