
Philip ambaye tayari alianza kuwa na uhusiano na muumini huyo huku mke wake Anne Karissa akijua lakini baadaye aliamua kumsamehe.
Pamaoja na upendo wa mke wake kwake mchungaji huyo aliona hiyo haitoshi na kufanya uamuzi mgumu kwa kumzamisha mke wake kwenye maji hadi kusababisha kifo chake pamoja na mwanaye aliyekuwepo tumboni.