Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fahamu shirikka bora la usafiri wa anga duniani.

Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika la ndege la taifa la Falme za kairabu United Arab Emirates limetajwa kuwa na ndege salama kuliko zote duniani .Kwa mujibu wa mtandao maalum unaotoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Ndio Maamuzi Ya Yanga Juu Ya Kipa Juma Kaseja!

Sakata la mchezaji mkongwe nchini Juma Kaseja na klabu yake ya Yanga leo limechukua sura mpya, baada ya kudumu kwa takribani miezi kadhaa.Kaseja ambaye amekuwa kwenye mgogoro wa malipo ya fedha za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tajiri Bill Gates Anywa maji yanayotokana na Kinyesi Cha Binadamu.

Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Corporation, Bill Gates ameendelea kuuthibitishia ulimwengu kwamba haogopi kuwekeza pesa yake kwenye biashara yoyote Duniani.Ni mmoja ya watu wanaofadhili miradi mikubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Amuua mkewe kwa risasi na kisha kujiua mwenyewe wakiwa kituo cha Polisi.

Mara nyingi kituo cha Polisi ni mahali ambapo mtu anakuwa na uhakika wa kuwa na usalama, kuna matukio yakitokea katika maeneo hayo huwa ni ya kushtua, mojawapo ni kama hili la mwanaume mmoja kumuua mke...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rambo anakuja na hizi filamu tatu ndani ya 2015…

Mkali wa Movie za matukio ya mapigano au Action Movies, Sylvester Stallone ametangaza ujio wa filamu yake mpya itakayokuwa sehemu ya mwisho ya mfululizo wa filamu za Rambo ambazo zimemjengea umaarufu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Mastaa wa movie waliochukua pesa nyingi zaidi Holywood 2014.

Filamu inalipa sana hasa kwa nchi za wenzetu, wamekuwa na mfumo mzuri ambao inakuwa rahisi hata kupata takwimu za kipato ambacho kupitia kazi hiyo wamekuwa wakikusanya kwa mwaka.Jarida la Forbes...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ya tembo Kuvamia kijiji na kunywa pombe Ni Hatari Kwa Kweli.

Tembo walivamia kijiji kimoja India wakiwa wanatafuta chakula, wakakuta kuna pombe ikiwa imewekwa na wanakijiji kwenye makopo, wakanywa na kulewa.Mbaya zaidi baada ya kulewa walianza kufanya fujo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jamaa Achoma gari moto huku mwanaye akiwa ndani!

Mwanaume mmoja nchini Japan ameshtakiwa kwa kosa la mauaji baada ya kujaribu kumuua mwanaye kwa kuweka gari lake kwenye moto wakati mtoto huyo akiwa ndani ili apate muda wa kwenda kujirusha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jamaa hajafika kazini kwa miaka 24 na bado alikuwa mfanyakazi!

Huenda huku kwetu sheria zinabana zaidi kuhusu utaratibu wa kazi na ajira, sikuwahi kusikia story ya mtu kukaa miaka 25 bila kuhudhuria kazini na bado akawa na sifa ya kuwa mwajiriwa!Mara nyingi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu Ndio Mwanasoka Bora wa Mwaka Afrika, Aweka Record ya Kuchukua Taji Hilo...

Bertha Lumala na mitandao Kiungo wa Ivory Coast na Manchester City, Yaya Toure ametawazwa kuwa mwanasoka bora wa mwaka wa Afrika wa Shirikisho l;a Soka barani Afrika (CAF) kwa mwaka wa nne mfululizo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Warembo 10 Waliofanaya Poa Katika Video Hapa Tanzania Mwaka Jana 2014 Wako Hapa!

1. Maggie Vampire – Wanawake wa Dar – Wakazi  Kwa miaka mingi wanawake wamekuwa wakitumika zaidi kupendezesha video za muziki duniani. Kazi hiyo imewawezesha baadhi ya video queens kuwa mastaa kwa kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto wa Jackie Chan Atiwa Jela Kwa Sababu Ya Bangi!

Jacee Chan mwana wa mwana nyota wa filamu Jackie Chan amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kutumia mihadarati.Chan mwenye umri wa miaka 32 alikiri kufanya makosa hayo katika mahakama ya wiliaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angalia Madhara Yaliyompata Huyu Dada Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa...

Picha ya kulia kabla ya majanga.. Mwanamitindo ambae alichukua nafasi ya pili ya pili katika Shindano La Miss BumBum huko Brazil, mwanadada huyo ameweka wazi madhara yaliyomkuta baada ya kufanyiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sanaa ya sarakasi yainua vijana TZ.

 Nchini Tanzania si jambo la ajabu kuona Watoto na wakubwa wakicheza sarakasi mitaani.lakini sifa hii ya kuwa nchi maarufu kwa sarakasi barani Afrika inatoka wapi, Mwandishi wa BBC alizuru Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu Mrembo wa Filamu za Bongo Atoa Kali Ya Mwaka eti Hajui Idadi Ya Wanaume...

Mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki na uigizaji wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Leo mwandishi wetu Gladness Mallya amemnasa mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki na uigizaji wa filamu Bongo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hali si shwari White House… Ni kuhusu ile SELFIE ya Malia Obama iliyovuja!

#Selfie neno la Kimataifa kwa Mwaka 2013, hiyo ilikuwa majibu ya kazi ya Oxford Dictionaries. Tangu kumekuwa na mtandao wa Instagram, nimegundua kwamba mtandao huo umekuwa na nguvu zaidi kuipita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyetoa Tuzo ya bidii ya kazi kwa Wanyama, aliwahi kuspend Valentine na mbuzi

Mwanasiasa mmoja nchini India, ameweka historia ya aina yake baada ya kuwatunuku Tuzo ya uaminifu wanyama kadhaa ikiwemo punda na swala akisema wameonyesha uaminifu mkubwa na kuwazidi binadamu. Vatal...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Amuuwa mpenzi wake na kumzika kwenye bustani ya mboga

Mwanaume mmoja kutoka Mpumalanga, Afrika Kusini amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkobola kwa kosa la kumuua mpenzi wake na kumzika katika bustani iliyo nyuma ya nyumba yake. Tukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU:Meli kubwa kuliko zote Duniani ni sawa na viwanja vya Soka...

Siku chache zilizopita, meli kubwa kuliko zote duniani iliwasili nchini Uingereza na kuwa kivutio kikubwa. Meli hiyo ya mizigo ina uwezo wa kubeba makontena 19,100 na ukubwa wake ni sawa na viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini Msanii Huyu wa Kizazi Kipya Pombe inamtesa,Ona alivyokonda Jamani!

Afande Sele amedai kuwa Daz Baba havuti unga kama watu wengi wanavyodhani bali amekuwa akinywa pombe bila kuzingatia kula hali inayomfanya akonde. Akiongea na paparazi, Afande amesema huu ni wakati wa...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live