
Vatal Nagaraj, ndiye mwanasiasa ambaye ametoa tuzo kwa wanyama hao baada ya kujiridhisha kuwa ni waaminifu na hutekeleza wajibu wao kwa nidhamu kubwa, huku wanyama wengine aliowatunuku ni pamoja na mbwa na ng’ombe.
Wakati wa utoaji wa tuzo hizo, wanyama hao walipendeza kwa kuvalia shanga.
Punda walionekana kuwafurahisha watazamaji waliokusanyika katika sherehe hiyo kwani walikuwa wamepambwa maua, mwanasiasa huyo amesema punda hutumiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi nchini humo lakini jamii nyingi bado hazitambui mchango wao.
Credit:Millardayo.