Hii ya mbuni aliyetia kizaazaa katika foleni ya magari Ni Hatari !
Wanyama pori wanapoingia mjini lazima itokee tafrani, hii inaonyesha mbuni aliyekatisha barabarani katika mataa ya kuongozea magari huko Israel.Mvua kubwa ilikuwa imenyesha, katikati ya barabara...
View ArticlePicha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni.
Picha za mrembo na mwigizaji wa sinema za kibongo, Jackline Masawe ‘Wolper’ alizoziweka mtandaono akiwa nafanya mazoezi ya viungo zimezua mjadala na maswali mengi.Wolper ambae kwasaa anaonekana kuwa...
View ArticleChunga Sana Wanawake/Wasichana wa Aina Hii ni Hatari Sana Kuwa Nao Kimapenzi.
Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..1.Demu wako wa zamaniNi vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya...
View ArticleBreaking News:Polisi Yafyatua Mabumu Ubungo Kuzuia Vurugu.
Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kufyatua mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa...
View ArticleSasa Nokia Imekuja Na Simu inayokaa Na Chaja Mwezi mmoja!
Simu za Nokia ni moja ya simu ambazo zimekuwa na umaarufu mkubwa Duniani, mbali na hiyo hii ni moja ya Kampuni kongwe zaidi kwenye soko la bidhaa hizo.Kuna wakati ambao umaarufu wa bidhaa za Nokia...
View ArticleMambo 12 Usiyoyajua Kuhusu Mnyama Aitwae Tembo Yako Hapa.Haya Kweli Ni...
Katika chimbo La Papaso TBC fm na D'jaro Arungu,tumechimbua sana na kukutana na Tembo!Kabla ya kuchimbua tulimjua Tembo kama wewe hapo umjuavyo.Ila team papaso ikajikuta ikiyafahamu haya na kukuletea...
View ArticleBinti wa miaka 12 kutoka Nigeria kwenye rekodi kubwa za Kimataifa…
Unapokuwa karibu na mtoto wako na kumfuatilia ni rahisi kujua kipaji chake na kukiendeleza ingawa ni wazazi wachache wanaoweza kufanya hivyo, msichana kutoka Nigeria ambaye anasoma Marekani anakuwa...
View ArticleHAYA NDIO MAAJABU YA MSITU WA AMAZON.
Umewahi kuusikia msitu wa AMAZONI, kama umewahi kuusikia bila shaka kuna mambo kadha wa kadha umeyasikia juu ya Msitu huu.Team papaso haikujali iwapo umewahi kuusikia, inachoamini Kuwa kuna mengi...
View ArticleKutana na Mwanaume wa Ajabu Mwnye Uume Mbili Na ametembea na Wanawake Zaidi...
Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio.Anajulikana tu kama 'Triple D,' na ana umri wa miaka 25 kutoka nchini Mashariki mwa pwani ya Marekani na anadai...
View ArticleSimu ya mkononi kumaliza Ebola Guinea.
Wakati ugonjwa wa Ebola ukiendelea kuwa tishio katika baadhi ya nchi Afrika magharibi, Wataalam wa afya nao wameendelea kuweka jitihada zaidi kuhakikisha kuwa wanaumaliza ugonjwa huo.Katika jitihada...
View ArticleWataalamu wa Mambo Wanasema Kuwa Dar es Salaam NI jiji ghali kuishi kuliko...
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam hutumia gharama kubwa zaidi, kulipia mahitaji yao ya muhimu kuliko wenzao wengine wa Afrika mashariki, jijini Nairobi na Kampala,utafiti uliofanywa na Shirika...
View ArticleALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI HUYU HAPA.
YULE mahabusu aliyeuawa kwa kupigwa risasi kwenye uzio wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Desemba 31, mwaka jana jijini Dar ni huyu ambaye anaonekana sura vizuri ukurasa wa kwanza wa gazeti hili....
View ArticleMwanamitindo Aamua Kutoa mbavu mbili ili awe na umbo namba nane Kitu Ambacho...
Mwanamitindo na stripper maarufu kutoka Miami ‘Estrelle’ amefanya maamuzi magumu ili kupata muonekano aupendao. Model huyu wa video na matangazo amekubali kutolewa mbavu zake mbili ili apate umbo...
View ArticleInstagram Yatajwa Kuwa Ni Mtandao wenye Watumiaji WENGI zaidi Kuliko Twitter...
Mtandao wa Instagram umetajwa kuwa na watumiaji wengi zaidi kuliko kuliko twitter. Mmiliki wa Instagram Kevin Systrom amesema instagram imefikisha watumiaji milioni 300 mpaka sasa na wanazidi...
View ArticleMwanasheria Mkuu Mpya wa Serikali Mhe.George Masaju amewaomba Watanzania...
Mwanasheria Mkuu Mpya wa Serikali Mhe. George Masaju amewaomba Watanzania wajenge imani na serikali yao huku akiahidi kushughulikia kero mbalimbali zinazowakabili wananchi. Mheshimiwa Masaju amesema...
View ArticleMbinu mpya za kusafirisha dawa za kulevya.
Baadhi ya wanawake wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya China na Hong Kong, walishika ujauzito kama moja ya mbinu ya kupitisha dawa za kulevya bila kugundulika kwenye viwanja vya ndege na...
View ArticleKutana na Alichokiandika Msanii AliKiba Juu ya Watoto Wake.
"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana.Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde...
View ArticleKutana Na Simu Ya Ajabu inayokupa Ulinzi wa Begi Lako Ukiwa Safarini.
Kuna ile tabia ya wizi wa mabegi ambao hutokea mtu akiwa safarini, zile za mtu kufungua begi lisilo lake, zote hizo dawa yake ni hii teknolojia ya eGeeTouch.Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia...
View ArticleDiamond Apewe Ofa ya Dola 40,000 ili Amuache Zari The Lady Boss Akatunze...
Katika Hali ya Kushangaza Jana kwenye Mitandao hasa Instagram aliibuka mtu anayejiita Kinglaurenc ambae inasemekana ni rafiki wa Baba watoto wa Zari Akimtaka Mwanamuziki Diamond Kupokea Dola za...
View ArticleKutana Na Mwanamke Wa Ajabu Alieamua Kufunga ndoa na Paka.
Dunia haishi maajabu na maajabu yamekuwa yakitokea siku hadi siku na yanatokea karibu kila mahali .Mwanamke mmoja huko nchini Marekani aitwaye Barbarella Buchner ametoa kali ya mwaka 2015 baada ya...
View Article