$ 0 0 "Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana.Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, AminUna lipi la kumwambia Kiba hapo?