Wasanii Wengi wa Tanzania Wana UKIMWI-Dude.
Staa wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema kuwa kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana Ukimwi na mbaya zaidi wanaambukizana wao kwa wao.Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Dude...
View ArticleUtafiti kuhusu athari za chumvi kwenye chakula.
Moja ya vitu ambavyo vimekuwa muhimu kwenye chakula cha mwanadamu ni chumvi ambayo hutumika kuongeza ladha ya chakula ambacho hutumika mezani . Umuhimu wa kiungo hiki umefikia hatua ya waswahili...
View ArticleATEMBEA NA KIFO MASAA MAWILI.
Mwanaume mmoja Brazil amewashangaza wengi baada ya kutembea kwa masaa mawili kuelekea hospitali akiwa na kisu kichwani alichochomwa na majambazi waliomvamia akiwa anatoka Club.Kisu hicho kilizama...
View ArticleMaskini Huyu Rapper Ameacha Muziki.
Rapper aliyekua akiwakilisha kundi la Lunduno Nikki Mbishi ‘Baba Malcom’ leo ameingia kwenye headline baada ya kutangaza kuwa ameacha kazi ya muziki.Taarifa hizo aliwahabarisha mashabiki wake kupitia...
View ArticleHii Ni Hatari Kwa Kweli,Jamaa Aamua Kumlipua Mke wake Kwa Moto Kisa Chakula.
Matukio ya kupiga na kunyanyaswa wanawake bado yameendelea kuchukua nafasi katika nchi malimbali za Afrika.Tumekuwa tukiona ripoti mbalimbali za matukio mabaya ya unyanyasaji.Kutoka Kenya mwanaume...
View ArticlePAPASO ! KIPINDI KIPYA CHA RADIO TBC fm Na Mtangazaji D'JARO ARUNGU.
Papaso Ni kipindi Kipya Cha Radio TBC fm Kilichoanza Mwaka huu 2015 Toka Tarehe 1 January.Lengo La Kipindi ni Kuburudisha,Kutoa Elimu nk.Hapa Chini Nimekuwekea Mpangilio Mzima Wa Kipindi.Ama Kwa...
View ArticleHii Stail Mpya Ya Joti 2015 Ni Kiboko Picha Kibao ziko Hapa!
Asilimia kubwa ya mastar wengi wa duniani huwa wanapenda kutengeneza kitu ambacho kitakua tofauti na wengine ili kumtengenezea utambulisho wake popote anapokuwepo.Tumeona style kadhaa za mavazi ambayo...
View ArticleMtoto wa Kiume wa Raila Odinga Akutwa Ameuawa Nairobi.
Fidel Odinga Mtoto Mkubwa wa kiume wa Mwanasiasa maarufu nchini kenya Raila Odinga amekutwa amefariki ndani ya chumba chake alimokuwa amelala leo alfajiri.Police nchini kenya muda huu wanaendelea na...
View ArticleMapacha waloungana kila kitu isipokuwa kichwa ni 1
Extraordinary bond: Conjoined twins Abigail and Brittany Hensel have been given their own reality TV show charting their graduation and travels through EuropeAstonishing development: The 22-year-olds,...
View ArticleDamwani: Mzigo Mpya Kutoka Kwa Riyama
Tukiwa ndio tuanaunza mwaka huu wa 2015, tegemea kazi mpya kutoka kwa mwigizaji mahili kabisa wa filamu hapa nchini, Riyama Ally ambae kwa sasa yupo katika hatua za mwisho kuikamilisha kazi...
View ArticleDOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO MPYA: HANCE J - SINYORITA
Wimbo: SinyoritaMsanii : Hance JProducer: Hance Jstudio: vision records whatsApp: +255 764 768 924Facebook: www.facebook.com/hance madaz
View ArticleSHEREHE YA MAULID YA MTUME MUHAMAD (SAW) YAFANA JIJINI DAR
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum akitoa mawaidha wakati wa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W) iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja...
View Article"Panya Road" 36 watiwa mbaroni Dar
Jeshi la polisi nchini linawashikilia vijana 36 wa kundi maarufu Panya Road wanaodaiwa kufanya vurugu na kupora mali za watu na kusababisha taharuki katika jiji la Dar es salaam huku baadhi ya wananchi...
View ArticleKubwa na Jipya Kutoka Kwa Diamond Plutnumz Kwa Sasa Hivi Iko Hapa!
Diamond Platnumz ateuliwa kutumbuiza CAFMsani Nasib Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika 2014.Diamond atatumbuiza...
View ArticleMWANAUME AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUGOMA KUMTOA MKEWE OUT.
Kesi imefika Mahakamani, mke anaomba mumewe ashitakiwe eti kosa ni kitendo cha mwanaume huyo kugoma kumtoa outing mkewe ili wakale chakula cha usiku katika mgahawa mkubwa town, ikaenda mbali zaidi pale...
View ArticleOna alichofanyiwa Huyu Jambazi na Wapita Njia alivyoenda Kuiba Benki.Hii NI...
Wizi katika benki ni moja ya uhalifu ambao umekuwa ukijitokeza sana siku hizi hapa Tanzania, ambapo wapo majambazi wengine baada ya kupora pia wamekuwa wakifanya mauaji.Hii ni kali.. Kuna video yenye...
View ArticleAna kesi ya kugonga ukuta wa Kituo cha Polisi!
Kukamatwa kwa jamaa aliyegonga ukuta wa Kituo cha Polisi akiwa anaendesha gari huenda ilikuwa moja ya kazi ambazo zilikuwa rahisi zaidi kwa Polisi wa kituo cha Frodsham, Uingereza.Polisi wamesema jamaa...
View ArticleHii Kweli Fungua Mwaka ! Ndugu waamua kumzika marehemu na kuku tumboni
Katika hali isiyokua ya kawaida mwili wa Benadetha Steven mwenye miaka 35 aliyefariki dunia juzi umefanyiwa matambiko ya kimila baada ya kupasuliwa na wembe ukiwa kaburini na kuingizwa kuku ndani ya...
View Article