Mahakama yawalazimisha watu kuvaa kinga kabla ya kuigiza zile sinema.
Kwa nchi nyingi za Afrika hasa Tanzania zinapiga marufuku kubwa ya uonyeshwaji wa movie za ngono kutokana na kwamba hazina maadili mazuri kwenye jamii, ukienda nchi kama China wao wameenda mbali zaidi,...
View ArticleMaskini mwanamke Huyu alazimika kujifungua kwenye parking ya magari eneo la...
Mwanamke anapokuwa mjamzito hasa unapofika wakati wa kukaribia kujifungua huwa makini sana ili aweze kujifungua salama, lakini kuna wakati ambao hujikuta ana changamoto kutokana na mazingira ambayo...
View ArticleSEIF KABELELE EXCLUSIVE INTERVIEW WITH TANZANIA’S BIG BROTHER REPRESENTATIVE...
Seif Kabelele: Why do you think you won out of all the other contestants?Idriss Sultan: I believe I was just human and being myself, so people saw that and they could relate. I wasn’t acting or fake...
View ArticleWaziri Mwanamke wa Jamaica azua Mjadala Mtandaoni kwa Kupost Picha Akiwa Nusu...
Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley. Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost...
View ArticleHabari njema kwa madereva, saa ya mkononi itaweza kuiongoza gari sehemu ya...
Hakuna kitu kibaya kama kusahau ulikoegesha gari lako, hasa kwa maeneo ambayo kumekuwa na tatizo la wizi wa magari, moja kwa moja unaweza kuanza kuhisi kwamba gari yako imeibiwa.Lakini sasa kero hiyo...
View ArticleInstagram yafuta 18% ya akaunti feki, Justin Bieber, Kim Kardashian wapoteza...
Mtandao wa Instagram wiki hii umewapa majonzi baadhi ya watumiaji wake baada ya kufanya operation ya kufuta akaunti feki (spammy accounts ) na hivyo kuathiri namba ya followers kwa watu wengi. Asilimia...
View ArticleCharles Mihayo,Mtanzania aliyewauwa watoto wake wawili Australia ahukumiwa...
Charles Mihayo, (36) mzaliwa wa Tanzania ambaye mwezi April, 20, 2014 aliwauwa watoto wake wawili wadogo wa kike nyumbani kwake huko Melbourne, Australia (Ingia hapa) amehukumiwa kifungo cha...
View ArticleMapenzi yake yalizidi kwa mbwa, akaomba azikwe nae baada ya kufariki…
Kutokana na mapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa mbwa wake huyo, huenda aliona kama iwapo atatangulia kufariki mbwa wake hatopata upendo kama anaompatia yeye.Akiwa hai aliomba kama ikitokea yeye...
View ArticleIfahamu timu yenye mashabiki wenye kelele kuliko wote nchini England.
Utafiti uliofanyika kwenye timu za soka nchini England ukiwaangalia mashabiki wa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo umeonyesha klabu ambazo zina mashabiki wanaozipenda klabu zao kuliko...
View ArticleMwanamke amtupa mtoto dirishani akiwa kwenye basi na Kusababisha KIFO Cha Mtoto.
Kamanda wa Polisi Singida, Thobias Sedoyeka amesema Jeshi la Polisi linamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mjukuu wake ambapo alimtupa mtoto huyo kwenye dirisha la basi ambalo...
View ArticleHabari njema kwa Wakenya…waja na teknolojia mpya ya kupima magonjwa ya zinaa...
Hii ni habari nzuri kwa Wakenya! Imeelezwa kuwa wale wote wanaojihisi kuwa na magonjwa ya zinaa ama kutaka kujua afya zao sasa imepitishwa kuwa kutakua na utaratibu maalum wa kupima na kutoa majibu kwa...
View ArticlePale ambapo wazazi wanaingia kwenye hatia baada ya kuwateka watoto wao….
Wanandoa kutoka Marekani wamefunguliwa mashtaka baada ya kuwateka watoto wao wanne ambao ni wadogo kwa nguvu kutoka kwa bibi yao na kuwapeleka katika nchi nyingine ya Mexico.Wazazi hao wameshtakiwa...
View ArticleLiving with a Lion at Home.
Fuente: Michael Rougier / Time & Life Pictures.How would our daily life with a lion at home? These images have the opportunity to get an idea, show the period in which the actress Tippi Hedren...
View ArticleUjumbe wa mtoto wa miaka tisa kumuomba Rais apunguze unene afanane na Obama…
Watoto huwa wanakuwa na fikra huru zaidi, mara nyingi kwa kuwa wanakuwa hawana uoga wala hawajui sheria, vyote hivyo hujifunza wakati wakiwa wanakua.Ilikuwa ni mashindano ya kuandika katika shule yao,...
View ArticlePicha 4 za Diamond Platnumz alitembelea Ikulu na Tuzo zake za Choamva.
Nafasi ya muziki wa Diamond Platnumz imekua kubwa hasa kutokana na baadhi ya Collabo ambazo tumezisikia kuwa kwa sasa wasanii wa nje ndiyo wanaomuomba yeye afanye nao ni good news kutoka kwetu.December...
View ArticleUmeskia Hii Ya ya wanaume kunyonyesha watoto?
Dunia na maajabu yake kwenye siku nyingine, leo kuna tafiti inayosema kuwa eti wanasayansi wanasema kwa kuangalia vigezo vya kibaiolojia wanaume wanaweza kunyonyesha hivyo huenda muda mfupi ujao jukumu...
View ArticleMashindano Ya miss Tanzania Yafungiwa Kwa Miaka Miwili.
Tangu atangazwe aliyekuwa Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu mengi yameongelewa kuhusiana na tetesi za udanganyifu wa umri na vitu vingine kadhaa vinavyomhusu mrembo huyo ikiwemo suala la umri wake na...
View ArticleNdoa yavunjika, kisa mwanamke amegoma kujibadilisha ili afanane na Kim...
Dunia na vioja vingine 2014, eti unaweza kumuacha mpenzi wako kwa kuwa hafanini na staa fulani ambaye wewe unampenda?Mwanamke mmoja ambaye jinalake ni Rahma, kutoka Cairo, Misri, amedai talaka kwa...
View Article