Majina ya wasanii wa kike walioingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka huu Ziko Hapa.
Forbes wametoa majina ya wasanii wanaopokea mkwanja mrefu zaidi huko Marekani.list hiyo imeshikiliwa na wadada wanaofanya vizuri kwa sasa huku pia wakiwemo waliotamba miaka hiyo kama Celine Dion....
View ArticleRapa tajiri Jay Z kafanya makubwa zaidi…
Rapa wa Marekani Shawn Corey Carter a.k.a Jay Z ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari mbalimbali vikubwa na mitandao duniani.Taarifa ikufikie kwamba baba wa Blue Ivy Carter na mume wa Beyonce,...
View ArticleUMEISKIA HII YA RAIS UHURU KENYATTA WA KENYA KUPANDA DALADALA KWENDA OFISINI...
Rais uhuru Kenyata ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa nchini Kenya kutokana na matukio mengi anayoyafanya, mengi yakiwa yale ambayo ni mara chache sana kumuona rais akifanya.Mfano ni kama lile tukio...
View ArticleUnahitaji kujua umebakiwa na siku ngapi za kuishi duniani? Ipo app ya simu...
Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye...
View ArticleIshu ya Rais wa China kuondoka na mzigo Tanzania imezungumziwa na serikali leo.
Serikali imetoa taarifa kuhusu tuhuma zilizoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini na vya Kimataifa kuhusiana na ziara ya Rais wa China kuhusishwa na usafirishwaji wa meno ya Tembo kutoka...
View ArticleList Ya Wanamichezo Walioingiza Fesa Zaidi Mwaka Huu.
List ya wanamichezo walioingiza fedha zaidi mwaka huu ambayo mpaka sasa anayeongoza ni bondia Mayweather akifwatiwa na mwanasoka Cristiano Ronaldo.
View ArticleHuyu Star Ameripotiwa Kuwa Mpenzi Wa Mtoto Wa 'Arnold Schwarzenegger' Patrick...
Msanii Miley Cyrus ameripotiwa kuanzisha mahusiano na mtoto wa mwigizaji maarufu duniani 'Arnold Schwarzenegger' Patrick Schwarzenegger.Miley na Patrick wote wanamiaka 21 wameonekana kwenye sehemu...
View ArticleMASKINI,ONA MADAWA YA KULEVYA YALIVYOMUARIBU SURA EMINEM.
Rapper Eminem amewahi kukiri kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa bado madhara ya dawa hizo yanaendelea kuonekana kwenye...
View ArticleRais anaetembelea gari la mwaka 1987.
Ni kawaida kuona Rais anaishi maisha ya kifahari ni jambo ambalo limezoeleka,hii ni tofauti kabisa kwa Rais Jose Mujica.Rais Jose Mujica wa Uruguay ni Rais masikini zaidi Duniani anaeishi kijijini na...
View ArticleTaarifa mpya kuhusu ushindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu Iko Hapa.
Tangu Sitti Mtemvu atangazwe mshindi pale Mlimani City kumekua na malalamiko kutoka kwa baadhi ya Watanzania yalifuatia kutokana na umri wake,pamoja na taarifa nyingine ambazo yeye alizikanusha na...
View ArticleHuyu Sasa Ndio Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima.
Baada ya aliyekuwa miss Tanzania 2014 Sitti Mtevu kujivua taji, huyu mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima Ndie Amekuwa amekuwa miss Tanzania.
View ArticleMatokeo ya Yanga vs Mgambo JKT.
Baada ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kwa kufungwa katika dimba la Kaitaba mjini Bukoba, klabu ya Yanga leo imejitupa uwanjani kucheza dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga.Katika mchezo...
View ArticleLiverpool vs Chelsea: wafungaji na matokeo ya mchezo haya hapa.
Mechi yao iliyopita ambayo ilikuwa takribani miezi sita iliyopita inatajwa kuwa ni moja ya mechi zilizoinyima ubingwa Liverpool.Leo hii Chelsea ikiwa kwenye ubora wa hali, huku Liverpool wakiwa...
View ArticleBilionea Dangote azidi kung’ara.
Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri hamsini kutoka Afrika list ambayo inaongozwa na tajiri wa Nigeria ambae ni Mfanya biashara maarufu na Rais wa kampuni ya Dangote Aliko Dangote, aliyekuwa...
View Article