Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Matokeo ya Yanga vs Mgambo JKT.

$
0
0
IMG_8674.JPG
Baada ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kwa kufungwa katika dimba la Kaitaba mjini Bukoba, klabu ya Yanga leo imejitupa uwanjani kucheza dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga.

Katika mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa taifa Dar ea Salaam umemalizika kwa ushindi wa 2-0 kwa vijana wa Marcio Maximo.
Mchezo huo ulikuwa mgumu kwa timu zote na mpaka kufikia dakika 25 za mwisho hakuna timu iliyokuwa imeona lango la mwenzie, lakini muda mfupi baadae Simon Msuva akaifungia timu yake ya Yanga goli la kwanza, na katika dakika za majeruhi kabisa akaongeza goli la pili ambalo lilihitimisha ushindi wa Yanga dhidi ya Mgambo, ambao waliifungq Yanga msimu uliopita.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles