Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Liverpool vs Chelsea: wafungaji na matokeo ya mchezo haya hapa.

$
0
0
IMG_8675.JPG
Mechi yao iliyopita ambayo ilikuwa takribani miezi sita iliyopita inatajwa kuwa ni moja ya mechi zilizoinyima ubingwa Liverpool.

Leo hii Chelsea ikiwa kwenye ubora wa hali, huku Liverpool wakiwa wanasuasua, timu hizo zimekutana kwenye mchezo uliomalizika dakika chache zIlizopita katika uwanja wa Anfield.
Mchezo huo umemalizika kwa Chelsea kuendeleza ubabe kwa Liverpool.
Magoli ya Gary Cahil na Diego Costa yaliizamisha Liverpool.
Emre Can alifunga goli la kufutia machozi kwa upande wa vijana wa Brendan Rodgers ambao msimu huu wamekuwa wakisuasua.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles