Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

MASKINI,ONA MADAWA YA KULEVYA YALIVYOMUARIBU SURA EMINEM.

$
0
0
Rapper Eminem amewahi kukiri kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa bado madhara ya dawa hizo yanaendelea kuonekana kwenye mwili wa Eminem haswa kwenye sura yake. 


Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles