Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha mpya zilizochapishwa za mauaji Iraq.

Vuguvugu la Sunni lenye msimamo mkali la ISIS ambalo limeteka maeneo ya Kaskazini mwa Iraq limesambaza picha ambazo zinaonyesha jinsi wapiganaji wake walivyoangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Ngamia mtabiri wa mechi za kombe la dunia na matokeo ya utabiri wake.

 Kwenye miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na matumizi ya wanyama na viumbe wengine kwenye kutabiri matokeo ya mechi za soka hasa kwenye michuano mikubwa kama kombe la dunia.Mwaka 2010 wakati wa WOZA,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wamuua mdogo wao wa kike mbele ya wazazi wao na kuchoma mwili kisa mapenzi.

Matukio ya ajabu yanaendelea kuripotiwa duniani huku mengine yakitokana na uamuzi wa ajabu unaoendeshwa na hasira za kijinga . Msichana mmoja wa kijiji cha Sabhapur, Aligarh, India  aliyetajwa kwa jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ndio njia mpya inayotumika kutahiri wanaume Uganda.

Wizara ya afya nchini Uganda imeanza majaribio ya kutumia kifaa kipya kwa ajili ya kutahiri wanaume ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.Kifaa hicho rahisi cha mpira kinatumika kutoa ngozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIDAAAH!!! ONA KOMBE LA DUNIA LINAVYOLETA VITUKO KATIKA NDOA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya kutolewa mapema kwenye fainali za kombe la dunia, kocha wa Hispania...

 Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Hispania Vicente del Bosque amesema hana njia ya mkato ya kusema samahani kwa mashabiki wa soka wa nchi hiyo kufuatia kikosi chake kushindwa kuonyesha uwezo wa kutetea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

William Mtitu amtuhumu Flora Mbasha kuwa Chanzo cha mumewe kwanda jela.

Mongozaji wa filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies, William Mtitu amemshushia lawama muimbaji wa nyimbo za injili, Flora mbasha kuwa yeye ndiye chanzo cha mumewe kwenda jela kwa tuhuma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kituo Cha Tv Cha Uganda Chapigwa Stop Baada Ya Kumuonesha Rais Museveni Akiwa...

Serikali ya Uganda imekipiga marufuku kituo cha runinga cha NTV kufanya habari yoyote inayohusu ikulu au rais wa Uganda baada ya kuonesha picha ya rais Yoweri Kaguta Museveni akiwa amelala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ndio alifariki DUNIA,mwili wake ukazikwa na sasa amejitokeza akiwa hai.

  Unaweza kudhani labda ni simulizi za kusisimua ambazo pengine huwa nyingi zinaishia kuandikwa tu kwenye majarida na makala mbalimbali lakini hii ni tofauti mtu wangu,unaambiwa huyu jamaa alifariki na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na mtoto aliyezaliwa na mkia anayeabudiwa kama Mungu huko India.

Mvulana mdogo aliyezaliwa na mkia unaofikia urefu wa inch saba anatarajia kufanyiwa upasuaji ili utolewe licha ya kuwa anaabudiwa kama Mungu na watu wa jamii yake.Arshid Ali Khan, mwenye miaka 13...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLORA MBASHA (MWOKOVU), NI KWELI UMEAMUA KUMFUNGA (KUMUUA) MUMEO?

Mbasha (Mume wa Flora) akiingizwa MaabusuMara nyingi nilikuwa nazani watu wenye misingi ya imani ya kidini yeyote basi wanafuata na kuishi katika misingi husika ya imani hiyo. Flora Mbasha ni mwimbaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBE KUNA SIRI NZITO SANA KATI YA HAWA MAGWIJI WAWILI WA MUZIKI WA "UBONGO...

Ni ukweli usiofichika kwamba kumekuwa na sitofahamu nyingi juu ya wasanii hawa wakali wa Bongo Fleva (Diamond na Alikiba) huku mashabiki wakiwa na kiu ya kutaka siku moja kusikia kazi  ya pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUZIKI UNA HELA JAMANI! DAVIDO AMEFIKIA KULIPWA ZAIDI MILIONI 80 KWA SHOW MOJA

Kaka yake Davido ameandika hivi kupitia moja ya mtandao wake wa kijamii".....my artist makes 50,000$ per show! God is good.."Zidisha dola 50,000 mara 1600 ili upate pesa za kibongoKama una kipaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sare ya Japan na Ugiriki yaifungulia mlango Ivory Coast kuelekea 16 bora.

Baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kuumizwa na hatua ya kufungwa kwa Ivory Coast katika mchezo wajana dhidi ya timu ya taifa ya Colombia, timu za Japan pamoja na Ugiriki zimeshindwa kutambiana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoto wa Will Smith hulala na nyoka 10 chumbani, wengine hawajafungwa.

Watoto wa Will na Jada Smith, Willow na Jaden wana mengi ya ndani ambayo wengi walikuwa hawayafahamu.Kwa mujibu wa US Weekly, Willow Smith mwenye umri wa miaka 13 hulala na nyoka kumi chumbani kwake na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwandishi maarufu aanzisha dini yake kupinga wanaume, atangaza kuwa Mungu wa...

Mwandishi maarufu wa vitabu ambaye aliwahi kushinda tuzo nyingi, Kola Boof ambaye aliwahi kukiri kuwa mfanyakazi wa Osama Bin Laden ameibuka na jipya kwa kutangaza dini yake.Kola Boof ametangaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kilichotokea hadi kuvunjika kwa daraja la Tabata Segerea na kuua watu watano.

Kwa mujibu wa Ripota wa nguvu Lusajo kutoka Tabata, Daraja linalounganisha Majumbasita na Tabata Segerea limevunjika baada ya Lori kubwa kupita juu yake likiwa limebeba kontena kubwa wakati uwezo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwimbaji wa kike wa Nigeria ajitoa kwa Boko Haram ili wasichana 200 waachwe...

Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram.Mwimbaji huyo ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha ya mhalifu yawavutia wanawake, wapanga kuchangisha pesa Kumtoa Jela.

Kitengo cha polisi cha Stockton, California kimezua mjadala mpya baada ya kupost kwenye Facebook picha za mhalifu ili kipate msaada wa taarifa zaidi za raia lakini kilichotokea na kuwa picha hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Redds Miss Iringa 2014.

Tano bora Redds Miss Iringa Washindi wa Redds Miss Iringa katikati ni Martha John Redds Miss Iringa 2014, Kulia ni Foe Mkuchu mshindi wa 3 na Jilian Joel kushoto redds miss Iringa no. 2Foe Mkuchu...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live