Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alichosema bungeni Mh. Wassira kuhusu Tundu Lissu.

April 16 2014 saa saba kasoro mchana makamu mwenyekiti wa bunge la katiba hapa Dodoma aliwasha kipaza sauti na kuzungumza kuhusu matangazo mawili yaliyomfikia, moja la wageni na la pili ni la hati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA VIDEO MPYA YA T.I.D FT PROF JAY-RAHA.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hizi Ndio Tattoo Zingine Za Ajabu Zaidi Duniani.

Tattoo inaweza kuwa urembo na kero wakati mwingine. Tattoo yenye rangi na mchoro wenye mvuto unaongeza urembo na pambo kwenye mwili ila tattoo zingine ukiziona unaweza kumuogopa mtu aliyejichora tatto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU MREMBO SASA KUFANYA KAZI ZAKE NCHINI AFRIKA KUSINI.

Msanii Habida kutoka nchini Kenya, ameweka wazi kuwa baada ya kusaini mkataba na lebo ya muziki ya Gallo Records ya huko Afrika Kusini, ratiba ya maisha yake imebadilika sana ambapo kwa sasa muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwana FA: Unaleta mchezo na Mjomba sio?

Ni sentesi iliyoandikwa na Mwana FA katika ukurasa wake wa Facebook ambapo ameambatanisha na picha ya Msanii Mrisho Mpoto akiwa kwenye gari la kifahari aina ya Toyota Prado New Model nyeusi,Huenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Soma Hapa Sentensi 9 za Zitto Kabwe leo kwenye bunge la katiba.

Bado mjadala unaendelea kuzihusisha sura ya kwanza na ya sita kwenye rasimu ambapo ishu ya uwepo wa serikali mbili na serikali tatu imeendelea kuguswa mara nyingi kipaza sauti kinapowashwa.Yafuatayo ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE YA BUNGE KWA MADAI YA KUCHOSHWA NA MATUSI...

Wabunge wa upinzani wote wamesusa na kuondoka katika ‪‎Bunge La Katiba‬kwa madai ya kuchoka matusi wakati wakitoa michango yao.Wabunge wa kundi la UKAWA wameondoka ndani ya ukumbi wa bunge na makamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASKINI BAISKELI YAMPONZA HUYU KIJANA.ONA MAFURIKO YALIVYOMKOSAKOSA.

Mtu mmoja amenusurika kifo kwa kujinusuru katika kichaka katikati ya maji yanayokwenda kasi akisubiri kuokolewa katika eneo la ruvu mkoani Pwani baada ya kuzidiwa nguvu na maji alipojitosa kwenye maji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAHABA WANASWA NA KUPEWA KICHAPO BAADA YA KUJIUZA WAKIWA WAMEVAA NGUO ZA...

HAWA NI WANADADA, WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAFANYAO UKAHABA KAMA KAZI YAO YA KUJIPATIA KIPATO NDANI YA JIJI NA KUENDESHA MAISHA YAO.WAREMBO HAWA HUFANYIA BIASHARA ZAO KATIKA VIWANJA VIKALI VIKALI VYA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDADI YA WALIOKUFA MAFURIKO JIJINI DAR YAFIKIA 25.

Watu 25 wamethibitika kufa mkoani Dar es Salaam nchini kutokana na mvua kubwa zilizonyesha kwa siku tatu mfululizo kuanzia Ijumaa hadi Jumapili iliyopita.Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Abiria walionusurika katika ajali ya meli ya Korea Kusini wasimulia ajali...

Abiria waliokuwa katika ajali ya meli nchini Korea Kusini wamesimulia walichokishuhudia na kukisikia wakati meli hiyo ilipoanza kuyumba na kuzama.Abiria hao wamesimulia katika nyakati tofauti lakini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanaharakati wanawake washauri wasilipwe ujira sawa na wanaume.

Bi. Phyllis Schalafly (pichani), ambaye ni mwanzilishi wa kitengo maaarufu cha wanaharakati wanaopinga harakati za wanawake dhidi ya wanaume ‘Anti-feminist Eagle Forum’ cha Washington, Marekani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Man Utd wapewa mtihani mzito.

Meneja wa klabu ya Everton Roberto Martinez, amewapa changamoto mabingwa wa soka nchini Uingereza Man utd, kufuatia klabu hiyo ya Old Trafford kuonyesha nia ya kutaka kumsajili kiungo kutoka nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rich Mavoko kufanya show nane katika nchi za Ulaya.Hii ni Mara Yake ya Kwanza.

Bongo Flava inalipa na inazidi kuwatoa wasanii wengi nje ya mipaka ya Tanzania ambapo tumewasikia baadhi ya wasanii wakubwa wakipata shows nje ya nchi.Mwimbaji wa Roho Yangu, Rich Mavoko ana kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND ATOBOA SIRI KUWA ANA MTOTO.

Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea‘furaha ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaka zake Paul Walker kuchukua nafasi yake kwenye Fast and Furious 7.

Pichani:Paul Walker na ndugu yakeWaandaji wa Fast and Furious 7 wameeleza kuwa nafasi ya marehemu Paul Walker katika filamu hiyo itachukuliwa na kaka zake Celeb na Cody.Paul Walker alikuwa akiigiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASIKITISHA SANA,MESEJI ZA WATU WALIOKUWA KWENYE MELI KWENDA KWA NDUGU ZAO...

Meli ya Korea Kusini iliyokua imebeba zaidi ya abiria 460 wengi wakiwa ni Wanafunzi, ilizama kusini mwa pwani ya nchi hiyo siku ya Jumatano asubuhi ambapo mpaka sasa wengi hawajapatikana huko Korea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA"WACHA NITENGENEZE CHAPAA KUOLEWA LABDA 2030"

STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amesema hana papara na suala la ndoa kwani amejipanga kutimiza tendo hilo mwaka 2030.Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema anachoomba ni uzima kwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AINGIA KWENYE NOMINATION CATEGORY MBILI MTV AFRICA MUSIC AWARDS.

Nomination za MTV Africa music awards kwa mwaka 2014 zimetoka huku Mafikizolo,Uhuru na Davido wakiongoza kwa kupata nomination 4.Watanzania wapo kwenye vipengele vitatu na moja ya vipengele hivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE: NILIPONASA SASA SIPINDUI-MAHABA NINYONGE.

STAA wa filamu na mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ amefunguka kuwa amenasa vilivyo katika penzi la msanii mwenzake, Nuhu Mziwanda hatarajii kuachika.Akipiga stori na paparazi wetu, Shishi...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live