Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Man Utd wapewa mtihani mzito.

$
0
0
Roberto Martinez, ametoa changamoto hiyo kwa mashetani wekundu kwa kuwataka wajiandae kwa kitita cha paund million 38 endapo wanamuhitaji kweli kiungo huyo ambae pia anawaniwa kwa ukaribu na klabu jirani ya Liverpool.
Martinez amesema yupo tayari kufungua makubaliano na klabu yoyote ambayo itaonyesha nia ya dhati kumsajili kiungo huyo mwenye umri wa miaka 20, hivyo amewasisitiza Man Utd kutokukata tamaa kutokana na kiasi cha pesa alichokitaja.
“Endapo itajitokeza klabu yoyote ambayo inataka kumsajili Ross Barkley, sitokua na kipingamizi chochote lakini ninachokitaka taratibu zitekelezwe kikamilifu ima iwe kwa Man utd ama Liverpool” Amesema Martinez akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles