Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAJALI MBAYA YA HEILKOPTA MAPEMA LEO KIPUNGUNI B DAR ES SALAAM.

Taarifa ambayo imeripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari ni kuhusu watu wanne kufariki kutokana na ajali ya Helikopta inayomilikiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, yenye namba 5HTWA kuanguka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIO STAR MKUBWA DUNIANI ALIYEOA MAPEMA WIKI HII.

Samuel Eto’o, moja kati ya wachezaji wakubwa wa  soka duniani  amefunga ndoa rasmi baada ya kuishi na mwanamke huyo ambaye walifunga ndoa ya kimila tangu mwaka 2007.Eto’o amefunga ndoa na Tra Lou...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘BODABODA’ WAKIKE AWA KIVUTIO DAR

Dereva wa pikipiki wa kike akiwa na abiria.MWANADADA mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, alionekana kivutio kikubwa kwa wapita njia baada ya kuonekana akiendesha pikipiki (Bodaboda) kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi dhidi ya Mubarak yatupiliwa mbali.

Mahakama moja nchini Misri imetupilia mbali kesi dhidi ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Hosni Mubarak kutokana na mauaji ya mamia ya waandamanaji wakati wa maandamano ya kumng'atua mamlakani.Aliyekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Roboti kuchukua kazi za raia Uingereza.

Sio raia wa Australia pekee walio na wasiwasi kuhusu kupotezi kazi zao kwa mitambo inayojiendesha.Zaidi ya thuluthi moja ya ajira nchini Uingereza ziko katika hatari ya kuchukuliwa na mitambo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yule Msichana aliyempiga Mtoto Uganda azungumza Kwa Mara ya Kwanza.

Baada ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo kipo ambacho amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Achana Kabisa na Diamond Plutnumz,Hichi Ndicho Alichokifanaya Huko Afrika...

November 29, haitakumbwa kwenye maisha ya Diamond Platnumz na familia yake pekee, bali pia kwenye muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, baada ya hitmaker huyo wa ‘Number One’ kunyakua tuzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’, Zari achukua nafasi yake rasmi,...

It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena.Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. Miongoni mwa watu waliompongeza kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majibu ya Aunt Ezekiel baada ya kuulizwa kuhusu Diamond na Zari pamoja na...

Kwenye U Heard ya leo Decemba 01 2014 Gossip Cop Soudy Brown ameongea na mwigizaji Aunt Ezekiel kuhusu ishu mbili tofauti ambapo ya kwanza ni kuhusu rafiki yake Wema kama amewahi kumwambia chanzo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapokezi ya Diamond Platnumz Dar es salaam Dec 02.

Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam Tanzania leo Dec 02 akiwa na tuzo zake 3 alizozipata kutoka Channel O ambapo Watanzania wamejikusanya barabarani kutoka Airpot mpaka mitaa aliyokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkusanyiko wa zile story kubwa kutoka kwenye Magazeti yote ya Leo Desemba 03...

MWANANCHIMwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amesema wizi wa bilioni 306 kwenye akaunti ya Escrow ni matokeo ya nchi kuwa na Katiba isiyo na vifungu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya kuona mapokezi ya Diamond Dar, rapper AKA wa South Africa kayasema...

AKA ni rapper maarufu kutoka Afrika Kusini ambae alishinda tuzo moja kwenye tuzo za Channel O 2014 hapa Johannesburg Afrika Kusini ambako Diamond alishinda tuzo tatu kwa mkupuo.Baada ya kuziona picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maamuzi ya Rais Kenyatta kwa Mawaziri wake kufuatia kuendelea kwa...

Baada ya nchi hiyo kuelemewa na mashambulizi mara kwa mara na shinikizo la wananchi Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi  Waziri wa Usalama Joseph Ole Lenku na kumteua Waziri mpya wa Usalama Joseph...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini ! Binti aliyeongoza Matokeo ya darasa la saba Aozeshwa kwa mahari ya...

Pamoja na Serikali kuendelea kupiga vita wazazi kuwaoza mabinti zao wakiwa bado wadogo lakini bado kuna baadhi ya makabila hapa nchini wameendeleza utamaduni huo kwa kuwaoza mabinti zao sababu kubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke aficha maiti ya mumewe ndani kwa miezi sita.

Huwa inakuwa ngumu kuamini kinachoendelea pale ambapo mtu ambaye unampenda sana inapotokea anafariki.Tumeshuhudia matukio ya ndugu zetu wengi kufariki na kutuacha kwenye wakati mgumu, labda ndiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umeskia Yule mama aliyejiuzulu kwa kukosoa mavazi ya watoto wa Rais Obama ?

Moja ya story ambazo zilichukua uzito wa juu katika vyombo vya habari wiki iliyopita ilikuwa ni kitendo cha yule mama mfanyakazi wa Chama cha Republican Marekani, Elizabeth Lauten ambaye alikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO WALIVYOAGWA NDUGU ZETU ADV JOSHUA OGUDA NA MATEI HUKO DODOMA...

Posted b

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA AJALI ALIYOPATA MFANYA BIASHARA MAARUFU DODOMA MATEI MMASI &...

Picha ya ajali iliyotokea juzi jumapili maeneo ya kongwa ambapo ndug zetu wawili walipoteza maisha  na wa tatu kunusuika akiwemo mmliki wa mtandao wa bossngasa.com anayefahamika kwa jina la boss...

View Article

VIDEO MPYA YA SALU B IKO HAPA INAITWA TOKA MBALI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

the beautiful Zari bosslady

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live