Picha ya ajali iliyotokea juzi jumapili maeneo ya kongwa ambapo ndug zetu wawili walipoteza maisha na wa tatu kunusuika akiwemo mmliki wa mtandao wa bossngasa.com anayefahamika kwa jina la boss ngasa... waliopoteza maisha ni Mfanyabiasha maarufu pamoja na lecture wa chuo cha st john anayefahamika kwa jina la Joshua uguda... R.I.P