Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all 2632 articles
Browse latest View live

BAD NEWS KWA HASHEEEM THABEET.

$
0
0
Mtanzania Hasheem Thabeet amejikuta akikumbwa na hofu ya kupoteza namba yake baada ya mchezaji Steve Adams anayechipukia raia wa New Zealand ambaye amesajiliwa mwaka jana na club ya Oklahoma city thunder alisainiwa na timu hiyo july 2013 mpaka sasa ameonyesha uwezo mzuri hvyo kutishia namba ya Hasheem, tangu asajiliwe amefanikiwa  kufunga point 17 rebounds 10, assist 3 na blocks 3 ambapo ana wastani wa point 3.8 na rebound 4.6... 
Kutokana na umahiri huo kumekuwa na vita ya namba baina ya wachezaji hao.

>>Gonga Like Yako Hapa>>

FORBES MAGAZINE REVEALS MO AND MAKAMBA JR AMONG 10 POWERFUL MEN IN AFRICA 2014.

$
0
0
Mohammed Dewji, Tanzania, Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania Limited
Dewji is the Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) and at 39 is the youngest member of the Forbes’ Africa’s 50 Richest list with an estimated net worth of USD $500 million.
The MeTL Group began as a family business, a small trading company which Mohammed transformed into one of the largest industrial conglomerates in East Africa, with interests ranging from real estate, agriculture, finance, distribution and manufacturing.
The company employs more than 24,000 people across Tanzania and according to Dewji, generates annual revenues of USD$1.3 billion.
Dewji has been a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania since 2005. Dewji graduated from Georgetown University with a degree in International Business and Finance with a minor in Theology.
January Makamba Tanzania, Deputy Minister of Communication, Science & Technology and Member of Parliament
Makamba is one of Tanzania‘s rising stars in government. He is currently the Deputy Minister of Communication, Science and Technology and is rumored to run for President in 2015.
Makamba is a Member of Parliament for Bumbuli constituency in the National Assembly of Tanzania. Before running for the Bumbuli parliamentary seat, Makamba was aide to Tanzanian President Jakaya Kikwete for 5 years.
Named Young Global Leader class of 2012 by the World Economic Forum, Makamba comes from a political family; his father, Yusuf Makamba was Secretary General of the ruling CCM party under Julius Nyerere. 


>>Gonga Like Yako Hapa>>

NAPANDAGA GARI YA HUYU DADA MARA NYINGI, ILA NGUO ANAZOVAAGA HUNIFANYA NIMUWAZE YEYE SIKU NZIMA.

$
0
0
Tunaishi wote mtaani hivyo mara nyingi tu hunipaga lift nikiwa labda natoka kazini au nikiwa naelekea kazini, wakati mwingine akiwa mjini hunipigia simu ili turudi wote mtaani ila niko na wakati mgumu sana huyu dada mrembo sana yani siwezi kuelezea hapa mkanielewa , nguo anazovaaga akiwa anaendesha ni za hatari sana yani hunifanya nimuwaze yeye tu siku nzima, sijui kwakweli nifanyaje wakati mwengine natamani hata nipenyeze mkono hata ni mguse tu lakini naogopa labda msaada wa lift unaweza kuishia hapo kama unavyojua usafiri ni mgumu sana hapa mjini. Naombeni ushauri wadau..!! 

>>Gonga Like Yako Hapa>>

MAN UTD KAMA KAWAIDA YAO, WALALA 2-1 KWA STOKE CITY.

$
0
0
Mmmmh Jamani mie sio mshabiki wa Mpira kiivyo ila navyoona na ninavyosikia kila kona Man u jumba limewaangukia mwaka huu kila siku wakicheza lazima wapigwe 2 something ....mmmh wanahitaji maombi tena ya Mwakasege.........Au unaonajeee? tuwakesheeee 

>>Gonga Like Yako Hapa>>

Okwi Afunguka, Asema Hataki Kurudi Tunisia Tena.

TP Mazembe Wanasema Mbwana Samatta Ndio Mchezaji Bora Mwaka 2013.

$
0
0
Mbwana Samata ambaye ni mshambuliaji wa Taifa Stars amepewa kura ya kuwa mchezaji bora wa mwaka 2013 na

mashabiki wa TP Mazembe. Kwenye Mtandao wao tarehe 29 waliweka hio picha hapo juu na kuandika kuwa uchaguzi wa mchezaji bora wa Golden Raven imekamilika siku chache zilizopita na kwamba Mbwana Aly Samata kaibuka na point 248.
List Iko Hapa
1.  Mbwana Aly SAMATTA 248 points
2. Salomon ASANTE 219
3.    Robert KIDIABA 200
4.    Nathan SINKALA 97
5.    Rainford KALABA  67
 

>>Gonga Like Yako Hapa>>

Magazeti ya leo Jumapili February 2 2014.

Namna Jokate alivyom-surprise Wema On Stage Arusha.

$
0
0
IMG-20140202-WA0012Unaweza kujikuta ukishindwa kuielewa hii hali lakini inabidi ukubaliane na ukweli halisi wa hiki kilichotokea,Jokate na Wema historia yao ilianzia kwenye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2006 ambapo Mshindi alikua ni Wema Sepetu akifatiwa na Jokate kisha mshindi wa tatu akiwa Lissa Jensen.

2006Headline zilikuja kutengenezwa tena zikiwahusisha warembo hawa kuonekana wako na mtu mmoja ambapo magazeti mengi yaliandika mahusiano haya  yaliyokua yakimhusu Diamond Platnumz kutoka na warembo hawa.
IMG-20140202-WA0009Kimepita kimya kirefu sana juu ya hawa watu wawili hadi usiku wa February 01 huko Arusha kwenye Tamasha la Divaz Night Endless Fame ambalo ndani yake kulikua na mastar kadhaa akiwemo Wema Sepetu,Aunt Ezekiel,Martin Kadinda,Kajala,Zamaradi Mketema,Chid Benzi,Mirror,Jordan na wengine kibao.
IMG-20140202-WA0011Wakati Madam Wema Sepetu akimwaga mauno kwenye jukwaa bila kutegemewa na mtu yoyote Jokate alipanda Jukwaani na kuanza kumtunza Wema pesa na wakati huo Wema alikua akicheza Wimbo wa Diamond My Number One ‘Ngololo’ ambapo Jokate aliungana na Wema kuucheza Wimbo huo.
IMG-20140202-WA0008

>>Gonga Like Yako Hapa>>


HEBU CHUKUA MUDA WAKO KUSOMA STORI HII YA KWELI YA KIJANA ALIYECHOMWA MOTO BILA HATIA.

$
0
0
Bwana Zimbo (kwenye picha), alikuwa hajaajiliwa kupata kazi tangu alipomaliza chuo, na alishika nafasi ya kwanza kabisa kitaifa katika University of Port Harcourt alipokuwa akichukua degree ya pili. 

Alikuwa anahangaika huku akijaribu kumuhudumia mama ya aliyekuwa anateseka kwa ugonjwa wa Kansa ya Ziwa.
Siku kadhaa zilizopita alienda kutafuta dawa katika duka lililo mbali na alipokuwa akiishi ambapo alienda kumtafutia dawa mama yake aliyekuwa anateseka na maumivu ya gonjwa lililokuwa likimsumbua.
Bwana Zimbo alifika dukani na kumkosa mtoa huduma wa duka hilo la dawa ndipo alipofikiria na kuona mama yake anateseka basi akaamua kuingia na kuchukua dawa zenye thamani ya shilingi elfu 9 tu na kuiacha pesa hiyo dukani humo humo.
Baada ya kumaliza kuchukua dawa na kuacha hela ndani alianza kutoka nje akikimbia kuwahisha dawa kwa mama ndipo mtu wa duka la dawa alitokea pembeni na kuanza kupiga kelele za, "mwizi,mwizi,mwiziii...."
Bwana Zimbo alizungukwa na wananchi wenye hasira kali ambao walianza kushusha kipigo kikali bila hata kuuliza mwisho wa siku wakamuwekea tairi la gari shingoni na kumpiga moto mpaka akafa, lakini kabla hajafa kuna jamaa alichukua simu ya Bwana Zimbo na kuiweka mfukoni, ilipokuwa mfukoni ziliingia ujumbe mbili kwenye simu ya bwana Zimbo. moja ikisema "wahisha dawa mama yako amezidiwa sana na amekata kauli fanya uje na usafiri tumuwahishe hospitali"

ujumbe wa pili ulikuwa unasema. "Bwana Zimbo umechaguliwa kuwa Meneja katika kampuni yetu ya mafuta na kazi itaaza siku ya kesho kutwa fanya uje uweze kumalizia taratibu za mwisho uwe kazini".

Hayakupita hata masaa mawili na mama yake Zimbo na ye alipoteza maisha.

Dunia gani hii machozi hayakujificha baada ya kusoma hii kijana amekufa wakati akijalibu kusaidia maisha ya mama ya ke mzazi ambaye naye alikufa kwa kuchelewesha hospital na anakufa akiwa amepata kazi na kupewa nafasi ya juu kabisa.


Credit:Masainyotambofu.

MWANADADA AFUNGA NDOA NA WANAUME WAWILI.

$
0
0
Mwanamke huyo pichani  anayeitwa Belinda mwenye umri wa miaka 32, akiwa na mume wake wa kwanza, Yasemekana mwanamke huyu alifanikiwa kufanya udanganyifu huo kwa kushirikiana na Baba yake mzazi.Gazeti la The Finder nchini Ghana liliripoti kuwa mwanamke mwanamke huyo aliolewa na mume wake wa kwanza Maxmus Anumah ambaye ni mfanyakazi wa Hospitali ya kijeshi ya 37 mwaka 2012 kisha kuolewa na mwanamume mwingine  Audrey Atikpo January 2013 huku  akiwa bado katika ndoa ya awali.

Ilielezwa kuwa katikati ya january 2013, Belinda ambaye alionyesha kutofurahishwa na ndoa baina yake na mumewe wa kwanza, alimuomba ruhusa mumewe huyo ya kwenda kwenye kituo cha maombi cha Edumfa kwaajili ya sala ya kufunga ili wapate watoto, ambapo mumewe alikubali ombi hilo.

Huku mumewe akiwa hajui kinachoendelea, Belinda kwa kushirikiana na Baba yake na baadhi ya wanafamilia waliandaa ndoa ya siri ya binti huyo kwa mwanamume mwingine Audrey Atiko ambaye alikuwa amerejea kutoka Marekani na haijafahamika kama waliwahi kukutana awali au la.

Ripoti hiyo ilieleza pia kwa mujibu wa vyeti vya ndoa yake ya pili.Belinda aliolewa na Atikpo January 31,2013 na waliandikisha ndoa hiyo kwenye mahakama ya wilaya ya Somanya.Baadaye  jamaa huyu alikodi nyumba ya makazi kwenye eneo lijulikanalo kama East Legon ambapo aliishi na Belinda kwa muda mfupi kisha kurejea Marekani kwaajili ya kuandaa utaratibu wa kumuwezesha Belinda kuungana naye kwa kwenda nchini humo.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo baada ya Atikpo kuondoka Belinda alikusanya vitu vyake na kurejea kwa mumewe wa kwanza  katikati ya mwezi wa pili, 2013.Ilielezwa baada ya kurejea huko Belinda alianza kukosoa kila alichokuwa anafanya mume wake huyo wa kwanza na kusababisha mzozo ya kila mara baina yao.

Miezi kadhaa baadaye, baba yake alikwenda kuwatembelea na kusema kuwa Belinda anahitaji apewe talaka, lakini mume wake huyo alikataa kufanya hivyo, Baada ya kupata shaka kuhusu simu za mara kwa mara kwa mkewe kutoka kwa watu tofauti ambazo alibaini zinapigwa kutoka Marekani, Maximus alihitaji kupata maelezo kuhusu simu hizo na Belinda alimwambia kwamba mwanamume ambaye amekuwa akimpigia simu (yaani mumewe wa pili, Atikpo) ni binamu yake na mwanamke ambaye amekuwa akiwasiliana naye (yaani mama mkwe wake aliyeko Marekani) ni shangazi yake.

Kwakuwa hakuridhika na majibu, Maximus aliamua kuanza kumfuatilia kimya kimya na katika juhudi hizo alibaini kipande cha karatasi, kilichokuwa chumbani kwao kikiwa  na jina na anauani ya Atikpo.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Jamaa aliamua kutumia mtandao wa facebook kutafuta jina la Audrey Atikpo kisha kumtumia ombi la kuomba urafiki. Baada ya kukubali  ombi hilo na kisha kuona picha ya harusi ya Belinda na mume wake wa kwanza kwenye ukurasa wa facebook, Atikpo alianza kumshambulia Maximus kwa ujumbe mkali ambaye kila mmoja alieleza kwamba ndiye mume halali wa Belinda.

Kwa mujibu wa The finder, siku iliyofuata Atikpo alimpigia simu Belinda kutokea Marekani na kumuuliza kuhusu suala hili, ambapo Belinda aliamua kukusanya kila kilicho chake kutoka nyumbani kwa mume wake wa kwanza na kwenda kwenye nyumba aliyokuwa amepangiwa na Atikpo. MMMH YAANI HILI NI BALAA, AIBU GANI HII 

CHANZOMWANANCHI.
 

>>Gonga Like Yako Hapa>>

BOB JUNIOR AWACHANA WASANII WA BONGO MOVIE WALIOJIUNGA NA CCM.

$
0
0

Kufuatia baadhi ya wasanii wa Bongo Movies na mmoja wa Bongo Flava kutangaza kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi huko Mbeya katika Maanzimisho ya miaka 37 ya chama hicho. 


Kumekuepo na mawazo tofauti kuhusu uamuzi waliochokua wasanii hao. Wengine wakisema kua wasanii hao wamepewa mshiko ili waipaishe CCM wengine wakisema kua walichofanya ni jambo zuri.

Leo msanii Bob Junior kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliamua kuwachana wasanii waliojiunga na CCM, alisema kua hakukua na ulazima wa wao kujiingiza katika siasa na pia alisisitiza kua hakukua na ulazima wa wao kujitangaza kua wameiunga na chama hicho. Moja ya kauli aliyoisema ni "muelewe kwamba iyo ni janja ya nyani kwani sio kuingia kila sehem mpaka watu wajue bongomoves so mjipange kwan mtaanguka kisanaa "

Itakumbukwa kua mwaka 2010 mwanadada Nakaya na msanii Marlow walijiingiza katika siasa jambo ambalo lililowafanya kushuka kimziki hadi leo hawasikiki. Msanii Marlow kupitia gazeti moja alisema kua anajutia kitendo chake cha kujiingiza katika siasa kwani kilimshusha sana kisanaa. 


Credit:Udakuspecially.

THAMANI YA MALI ALIZOKUWA ANAMILIKI HAYATI NELSON MANDELA ZATANGAZWA.

$
0
0


Mandela alifariki mwezi Disemba mwaka jana akiwa na umri wa miaka 95 Hayati Nelson Mandela, aliachia familia yake mali yake yenye thamani ya dola milioni 4.1.

 Sehemu ya mali hiyo pia itatolewa kwa chama tawala ANC, wafanyakazi wake wa zamani na shule kadhaa ambako alisomea.

Hayo ndio yalikuwa mapenzi ya Mandela ambayo yalikuwa kwenye wasia wake uliosomwa hadharani kwa familia nzima.
 Afisaa Dikgang Moseneke aliyekabidhiwa jukumu la kusoma wasia huo wenye kurasa 40 na kuhakikisha unatekelezwa ,alisema hapajakuwa na pingamizi zozote kuhusu yaliyomo kutoka kwa familia ya Mandela.
 Wafanyakazi wa karibu wa Mandela watapata randi 50,000 kila mmoja. Shule ambazo Mandela alisomea zitapata randi laki moja kila shule.
 Hayati Mandela alifariki akiwa na umri wa miaka 95.
 Familia ya Mandela tangu hapo imekuwa ikizozana kuhusu urithi wa hayati Mandela na kuna hofu kuwa huenda wasia huu ukasababisha mgogoro mwingine kuhusu mali hiyo.
 Mali ya hayati Mandela inajumuisha nyumba na hakimiliki za vitabu ikiwemo kimoja kuhusu maisha yake kwa jina ''Long walk to freedom'' 

AT KATIKA AIBU NZITO 2014, MGANGA AIBUKA NA KUDAI AMESEPA NA LAKI TISA ZAKE.

$
0
0

Leo asubuhi nilipoamka nilifungulia radio yangu nikakuta Dk Sharifaa akifunguka na kudai kuwa yeye ndio mganga wa A.T

Huu ndio ujumbe wa Dk Sharifaa (Mganga)
‘‘Tangu bado hajafahamika yaani sio mwanamuziki mimi nilikutana naye Zanzibar Unguja,tena nakumbuka kwa mara ya mwisho alikuja na Gerry Rhymes lakini Gerry alikuwa afahamu kitu chochote, chakushangaza tangu nilipomfanikishia mahitaji yake maana mimi ni mganga basi amenisahau kabisa nikijaribu kumpigia simu hapokei mpaka anapokei tuzo anapata safari za kwenda muscat amenisahau mimi ninaomba anipatie vile vitu alivyoahidi kwangu anipatie,sio kwa ugomvi ila sheria zetu sisi waganga kwasababu hizi ni kazi namdai deni la laki tisa nikimpigia simu hapokei ndio maana nimekuja hapa kuripoti’Alisema Mganga huyo.
‘Vitu vingine nilivyomsaidia vipo vingi kwa mfano anapotarajia kuachia wimbo mpya basi anakuja na Cd kwangu na mimi nafanyia taaluma yangu ya Uganga mwisho wa siku unakuta nyimbo zake nyingi zinapamba.Mimi naitwa Doctor Shariffa
SOURCE: Edwin Tanzania a.k.a 255

WEMA SEPETU"NIKIFA MIMI LEO AU KESHO NIAGWE UWANJA WA TAIFA"

$
0
0

Wema aachi vituko, Siku za Karibuni Wema amekaririwa na Gazeti moja la Udaku hapa Tanzania  aka Bongo akisema kuwa Akifa yeye Basi Aagwe
uwanja wa Taifa kwa vile jina lake ni kubwa Ndani na Nje ya Tanzania hivyo pale Leaders walipozoelea kuaga Watu maarufu hapata Tosha ,Alisema uwanja wa taifa utampatia kila mtu chance ya kumuaga....Mweeeeee Makubwa
CREDIT:Udaku Specially 

LADY JD AOMBA TALAKA, GARDNER APATA MSHITUKO..AELEZA KILA KITU

$
0
0

Stori na Shani Ramadhan.
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa
kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, Jide au Lady Jaydee alifikia uamuzi huo baada ya Gardner kupata kazi ya kutangazia redio moja nchini Kenya.
HABARI KAMILI
Mnyetishaji wa kisanga hiki, aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa mara baada ya mume huyo kupata mchongo mzima alirudi nyumbani akiwa na furaha na kumwambia mkewe kuhusu bahati hiyo.
“Baada ya Gardner kupata mchongo wote wa kazi alikwenda mbio nyumbani kwake Kimara (Dar) ili akamwambie mkewe.
“Pia katika safari ya kwenda Kenya kupiga mzigo ilikuwa aende na mkewe huyo kwa sababu lilikuwa suala la kuhamisha makazi yao Tanzania,” kilisema chanzo hicho.

JIDE AHAMAKI
Chanzo kikatoboa kwamba Gardner alipofika nyumbani kwake na kumweleza mkewe, alikumbana na kitu ambacho hakukitarajia.
“Komando (Jide) alihamaki na kumjia juu akisema yeye hawezi kuondoka Tanzania kwenda kuishi Kenya, kama Gardner analiona jambo hilo ni heri kwake, amuandikie talaka yake na kuachana ili kila mmoja achukue hamsini zake,” chanzo kilizidi kuporomosha maneno.
KWA NINI JIDE HAKUPENDA? 
Habari zilizidi kuanikwa kwamba Jide au Binti Machozi alifikia uamuzi huo baada ya kugundua kuwa kitendo cha kwenda kuishi Kenya kitaua bendi yake ya Machozi na sehemu ya biashara ya Nyumbani Lounge iliyopo Ada-Estate, Kinondoni, Dar.
MBAYA ZAIDI
Taarifa zikazidi kumiminika kwamba, mbali na Jide au Anakonda kuhofia biashara zake kufa, lakini pia hakupenda Gardner aondoke hata peke yake kwa sababu yeye ndiye meneja wa miradi hiyo miwili.
“Mimi nilipopata habari hizo nilikutana na Jide nikamuuliza, akanijibu ameamua iwe hivyo tu, kikubwa mumewe (Gardner) aamue moja kati ya hayo mawili kwani yeye ana haki akiwa kama mkewe wa ndoa,” kilisema chanzo kikimkariri Jide.
GARDNER AISHIWA NGUVU
Kufuatia majibu ya mkewe, taarifa zinasema mtangazaji huyo ambaye alishawahi kupiga mzigo kwenye kituo cha Radio Clouds FM cha jijini Dar alijikuta akiishiwa nguvu na kuachana na dili hilo mara moja.
“Gardner alisalimu amri kwa mkewe, akaamua kuachana na dili la kwenda kutangaza Kenya. Lakini alifikiri sana akasema ni kweli kuhamia Kenya kungeua miradi yao ya Tanzania maana ingekosa msimamizi wa kuaminika,” chanzo kiliweka wazi.
KAMA ANGEKWENDA KENYA 
Siri hiyo iliyovujia mikononi mwa Ijumaa Wikienda haikuishia hapo, ilizidi kuanikwa kwamba kama Kapteini angekwenda Kenya na kuanza kazi, ilikuwa alipwe mshahara wa shilingi za Kenya laki 3 kwa mwezi (kama milioni 6 za Tanzania).

NAFASI YAKE BADO IPO
Mpashaji wetu alisema kwamba nafasi ya Gardner kwenye kituo hicho cha redio ambacho hakikutajwa, bado ipo lakini tamko la Jide nalo li hai, kwa vile hakubatilisha, endapo mumewe atataka kwenda hata kesho (Jumanne) aandike talaka.
WIKIENDA NA GARDNER
Baada ya kunyetishiwa taarifa nzima, juzi gazeti hili lilimsaka Gardner. Kwa njia ya simu lilimkosa, likamfuata Nyumbani Lounge. Lilipomkuta lilimsimulia kisanga chote cha ndoa yake kutikiswa na kitendo cha yeye kupata kazi Kenya ambapo alijibu hivi:
“Ndoa ni nzuri, ni kweli ilikuwa niende Kenya, nilipata kazi kule lakini kama familia ilikuwa lazima tukae na kupanga, mwenzangu hakuafiki.”
Wikienda: “Ni kweli shemeji ameomba uchague mawili, umwandikike talaka au uende Kenya?”
Gardner: “Ndiyo maana nimesema ndoa nzuri, lazima makubaliano yawepo, mke anaweza kuonesha msimamo wake na mume kama utakaa chini na kuufikiria ukapata jibu unakubaliana na mke wako wala hakuna ubaya.”
Wikienda: “Kule mshahara wako ungekuwa shilingi ngapi?”
Gardner: “Hiyo sasa ni siri ya makubaliano.”
Wikienda: “Kwa nini usiamue kwenda tu?”
Gardner: “Nimekwambia ndoa nzuri.”
JIDE BIZE
Juhudi za kumpata Jide ziligonga mwamba baada ya muda wote kuwa bize na shoo ya kukata na shoka aliyokuwa akiifanya siku hiyo kwenye ukumbi huo akikimbiza na nyimbo zake kali za zamani na hizi mbili zilizogeuka nyimbo za taifa, Joto Hasira na Yahaya.
RAFIKI WA GADNER AMCHAMBUA JIDE
Rafiki wa karibu na Gardner (jina tunalo) ambaye alisikia mahojiano ya mtangazaji huyo na Ijumaa Wikienda, alisubiri jamaa aondoke ambapo alianza kumchambua Jide.
“Nataka kuwaambia kitu, Jide ni mwanamke jasiri sana. Ana msimamo na anaposhikilia msimamo wake hatengui hasa kama atabaini kuwa yupo sahihi.
“Ni kweli jamaa (Gardner) alipata kazi Kenya tena mshahara mzuri tu, lakini mama (Jide) akaweka ngumu hakuna kwenda,” alisema rafiki huyo.

CREDIT: Global Publishers

HUYU NDIO BINADAMU WA KWANZA KUFIKISHA FOLLOWERS MIL 50 KWENYE MTANDAO WA TWITTER.

$
0
0

Mwanamuziki Ajulikanae kama Katy Perry amekuwa mtu wa kwanza kufikisha followers Milion 50 kwenye mtandao wa Twiiter ...

Anae fuata kwa nyuma ni Justiner Birber ambae ana followers Mil 49 na wa Tatu ni Raisi wa Marekani Amabe ana followers Mil 41....

HUYU NDIO PRODUCER WA BONGO FLEVA ANAYETAKA KUNUNUA NDEGE BINAFSI HIVI KARIBUNI.

$
0
0

Producer Machachari wa Hapa Bongo Anaejulikana kama Lamar Amehabarisha Radio Moja hapa Bongo
Kuwa ana Mpango wa Kununua Ndege yake Binafsi ili kumrahisishia Mizunguko yake Sehemu Mbali Mbali ...Amesema hizo ndoto alikuwa nazo muda mrefu na Ameshaanza Kuongea na Wauzaji wa ndege kuona kama atapata Moja ...Big Up Lamar...Utakuwa msanii wa kwanza Tz kuwa na Ndege Binafsi....

Mwanamuziki Mwingine mwenye ndoto kama hizo ni Ay ambae nasikia ameanza kujifunza kuendesha ndege ili kujiandaa atakapo nunua yake ..... 

HAWA NDIO WASANII WA BONGO MOVIES NA BONGO FLAVA WALIOAMUA KUJIUNGA NA CCM.

$
0
0

Wasanii kadhaa kutoka kambi ya Bongo movies na Bongo flava Wameamua kukata shauri na kuchagua kujiunga na chama cha CCM , Wasanii hao ni JB ,
Banana Zorro, Rich Richie, Mboto , Irene Uwoya, Johari na Wastara...Wasanii hao wamepewa kadi za CCM na JK kwenye Sikukuu za kutumiza miaka 37 ya CCM Mjini Mbeya.......

KWELI KILA BINADAMU NA AKILI ZAKE.

MWIGIZAJI MAINDA HOI HOSPITALINI.

$
0
0

Msanii wa Filamu Bongo,Ruth Suka 'Mainda', akiwa Hospitali na mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo ambayo jina lake hakutaka kulitaja mara moja. 

SOMA UJUMBE ALIOUANDIKA KWA MKONO WAKE HAPO CHINI...

maindasmallbabyTrowback.......imebaki historia tu......maana magonjwa sasa hayana nafasi kwangu....nimejua kwa kupigwa kwake Yesu mimi nilishaponywa kitambo. Asante yesu kwa kuchukua udhaifu wangu,magonjwa yangu,unyonge wangu...na Umenipa Tumaini maisha yangu yote acha nikutumikie ipasavyo.japo najua nitakutana na vikwazo ila nitashinda coz wewe ulishafanya njia siku nyingi.mapambano yanaendelea huku nikizidi kukukili wewe Yesu kuwa ndie Bwana na Mwamba wangu....EMMANUEL:GOD 
Viewing all 2632 articles
Browse latest View live