Kigogo Atiwa mbaroni baada ya KUMLAWITI Msichana wake wa kazi
Mtoto Rose (kushoto) aliyelawitiwa, na mwenzake Diana aliyetoroshwa na kigogo mmoja aliyetajwa kwa jina la Moses.**** Wakati watetezi wa haki za binadamu wakizidi kupiga vita matukio ya unyanyasaji wa...
View ArticleGARI LA LULU LAIBUA MAZITO
Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ imeibua mazito kufuatia Jeshi la Polisi Dar es Salaam kubaini kuwa namba ya Sanduku La Posta (SLP)...
View ArticleNina Mimba ya Mbasha sio Gwajima -Flora Mbasha
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat...
View ArticlePASTOR MYAMBA APATA AJALI
Taswira baada ya ajali hiyo.STAA wa filamu za Kibongo, anayepatia zaidi kuigiza kama Mchungaji, Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ amepata ajali baada ya gari lake aina ya Toyota Creasta kugongwa na gari...
View ArticleMhehimiwa Temba kuachia ngoma mpya Jumamosi hii.....Serengeti fiesta Moshi...
Mhehimiwa Temba ametangaza rasmi kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “Wazee wa jiji” jumamosi hii.Serengeti fiesta Moshi wamepewa fursa ya kuonja radha ya wimbo huo siku ya Jumamosi katika...
View ArticleBaba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na...
Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles amefichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya...
View ArticleKondom za MALAYA wa Morogoro zawaathiri watoto.... Mkuu wa Mkoa anawa mikono,...
Biashara ya ngono iliyokithiri katika mji wa Morogoro imegeuka kuwa kero kwa wakaazi wa eneo hilo na familia zao hali inayowaweka hatarini zaidi watoto wadogo wasio na hatia wanaokutana na kondom...
View ArticleSMS za Usagaji za Aunt Lulu Zanaswa.....Zilikuwa zinaenda kwa binti wa kidato...
Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti...
View ArticlePochi Yamuokoa Kajala Masanja kukaa nusu Uchi
Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume.Tukio hilo...
View ArticlePenzi la Mainda Lagombewa na Wanaume
Staa wa Filamu za Kibongo aliyeamua kumpokea Yesu, Ruth Suka 'Mainda' amesema amekuwa akipata wakati mgumu kumjua mwanaume wa kweli ni yupi ambaye anaweza kumuoa na ndoa yake...
View ArticleShilole akiri kutotumia Condom kwenye mapenzi
Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa miondoko ya kizazi kipya, Zuwena Mohammed 'Sholole' amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa mahaba hayaleti ladha ndio maana...
View ArticleRais Kikwete akataa wanafunzi kugeuzwa ‘matrekta’
RAIS Jakaya Kikwete ametaka kuondolewa kwa mpango wa kuwalimisha wanafunzi ili waweze kupata chakula wakiwa shuleni kwani dhamana ya kumlisha mtoto ni ya mzazi na mtoto hatakiwi kujilisha mwenyewe....
View ArticleMfanyabiashara afia GESTI Jijini Arusha
Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, Olais Metili mkazi wa Uzunguni jijini Arusha, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Hoteli Diamond Motel iliyopo eneo la Sakina jijini hapa. Mwili wa...
View ArticlePolisi Ujerumani Wamuokoa Diamond kutoka kwa Mashabiki wenye hasira kali
Usiku wa Jumamosi ya Tarehe 30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri, Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini...
View ArticleOfisa Usalama wa Taifa feki Atiwa Mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata Ofisa Usalama wa Taifa feki ambaye amekuwa akijipatia fedha kutoka kwa wafanyabiashara kwa kuwahusisha na makosa yanayohatarisha...
View ArticleJumba la Big Brother Africa lateketea kwa moto, uzinduzi wa msimu mpya...
Moto mkubwa umezuka kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots katika studio za Sasani jijini Johannesburg, Afrika Kusini na hivyo kuahirishwa kwa kuanza msimu mpya uliokuwa uzinduliwe Jumapili hii,...
View ArticleBabu Tale aeleza ujumbe waliotumiwa na Promota wa Ujerumani kuhusu Diamond na...
Kufuatia tukio la vurugu kubwa zilizotokea wakati wa show ya Diamond Platinum huko Stuttgart, Ujerumani, promota wa kampuni ya Britts event ameutumia ujumbe uongozi wa Diamond.Akiongea na The Jump Off...
View ArticleLady Jaydee Adai Maadu zake Wamebadilisha Wimbo.....Walianza kusema Jay Dee...
Malkia wa muziki wa R&B, Lady Jay Dee amedai kuwa maadui zake wamebuni njia mpya ya kumwangusha, baada ya zile za awali kutofanikiwa. Katika waraka mrefu aliouandika katika mtandao wa facebook,...
View ArticleGari la Rais lililoibwa Kenya lapatikana Uganda
Jumatano ya wiki iliyopita ndio liliibwa hili gari aina ya BMW lisilopenya risasi ambalo huwa linakuwepo kwenye msafara wa Rais Kenyatta, na taarifa ya Ikulu ilisema liliibwa wakati dereva wake ambae...
View ArticleVIDEO Inatisha: Kundi la ISIS lamkata kichwa Mwandishi Mwingine wa Marekani,...
Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Iraq na Syria (ISIS) limetekeleza mauji mengine ya kutisha kwa kumkata kichwa mwandishi mwingine wa habari wa Marekani. Mwandishi huyo aliyetajwa kwa jina la...
View Article