Mwanamitindo ayashitaki Makampuni kwa kuonesha sehemu zake za siri kwenye TV...
Mwanamitindo Jessie Nizewitz ambaye alikuwa kati ya wasichana waliokuwa kwenye mashindano ya series ya ‘Dating Nak8d’ amefungua mashitaka dhidi ya makampuni yanayowezesha show hiyo kwa kurusha vipande...
View ArticleMjumbe wa CCM ‘ajiunga’ UKAWA
Jana ilikuwa kama sinema pale viongozi wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalumu walipojikuta wakibishana na mjumbe wao mbele ya waandishi wa habari, huku siri za mambo ya ndani ya vikao zikianikwa...
View ArticleNicki Minaj ashindwa kufanya 'clean version' ya video ya Anaconda, aeleza...
Rapper wa Young Money, Nicki Minaj aliachia video ya ‘Anaconda’ ambayo kimaadili bila kusita haifai na huenda wengi bado tunasubiri kuona video nyingine ya toleo safi. Kwa bahati mbaya hakutakuwa na...
View ArticleMarekani Yaanza kuwasaka Waliomchinja Mwandishi wa Habari James Foley
Kitengo cha sheria nchini ya Marekani kimeanza kufanya uchunguzi wa jinai dhidi ya kifo chamwandishi wa habari mwenye asili ya Marekani ,James Foley aliyeuawa na wapiganaji wa kiislamu wenye msimamo...
View ArticleJokate Na Vanessa Mdee Katika Beef Zito Kisa Penzi La Ommy Dimpoz
Habari ya Mjini ni kuhusu Jokate Mwegelo kutoka kimapenzi na Ommy Dimpoz ambaye ni star wa Bongofleva. Habari zaidi zinasema kuwa Jokate na Ommy Dimpoz wamekuwa wapenzi kwa muda sasa ila kwa siri...
View ArticleInterview: Meninah azungumzia kipindi chake cha tv, kilichotokea baada ya...
Mwimbaji wa Bongo Flava aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Kuimba BSS, Meninah La Diva amefanya exclusive Interview na Times Fm na kufunguka mengi ambayo hakuwahi kuyasema. Katika mahojiano hayo...
View ArticleUchawi, Safari za Kuzimu na maswali ya Aibu kwa washiriki wa Bibi Bomba...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo pamoja na kutoza faini ya takribani Sh milioni 5 kwa kituo cha redio na televisheni cha Clouds, kwa kukiuka kanuni za utangazaji za mwaka 2005....
View ArticleMwanafunzi wa Darasa la Saba Abakwa na muuza genge
Kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala, Dar kuna faili la kesi namba MBL/RB/ 9817/2014- KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI ambalo linamsaka kijana Juma Athumani (30), mkazi wa Charambe,...
View ArticleBatuli: Sitaki kusikia habari za Mtunisi.......Tulikuwa wapenzi zamani,...
YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha.Akizungumza...
View ArticleDOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO MPYA WA SAMATTA A - WANABOA
huu ni wimbo mpya kutoka kwa msanii anae kuja kwa kasi katika mtindo wa AfroPop ni wimbo wake wa pili kuutoa.usikilize hapa,..
View ArticleTamasha la Fiesta 2014 Lawa Gumzo Mkoani Tanga
Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa.Barnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wiki.Wadau nao...
View ArticleKesi Ya Kanumba Na Lulu Yasikilizwa Kimya kimya, Lulu Hajui Kinachoendelea
Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba imechukua sura mpya baada ya kuanza kusikilizwa...
View ArticleMAITI YAZIKWA KIMAAJABU JIJINI DAR
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Makaburi ya Makamba Msakuzi, Mbezi jijini Dar es Salaam ambapo wananchi hao waligundua kuwa maiti ya kijana huyo iliweka ndani ya jeneza kinyume na utaratibu...
View ArticleDAKTARI ABAMBWA NA MAITI DUKANI
UKANJANJA! Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa Jibuli Mahende, mkazi Kijiji cha Iyumbu, Sepuka...
View ArticleMfanyabiashara wa Madini Ajiua kwa kujipiga Risasi akikwepa kufia mikononi...
MFANYABIASHARA maarufu wa madini ya dhahabu amejiua kwa kujipiga risasi kichwani. Amefanya hivyo wakati akiwakimbia wananchi wenye hasira na wachimbaji wadogo kwenye machimbo ya Kalole Kata ya Bugarama...
View ArticleUhusiano kati ya Pete za Bahati na Mafanikio katika Maisha ya Mwanadamu
Kabla hatujafahamu kuhusu pete za bahati ni vyema na haki tukajua kuhusu IMMO Ring. IMMO Ring ni pete inayo undwa na madini aina tano ambayo ni Shaba, Dhahabu, Fedha, Zinki na...
View ArticleIle video mpya ya Bob Juniour ‘bolingo’ ndio hii imetoka
Kutana na Bob Juniour, staa mwingine wa bongofleva anaesema Masharobaro wanapendwa sababu wananyota ya Chips Mayai………. time hii Juniour ametuletea kioo chake kipya cha single ya ‘bolingo’
View ArticleDiamond na Dabo watajwa kuwania tuzo za 'IRAWMA', Marekani
Wasanii wa Tanzania, Diamond Platinumz na Dabo (wa Dancehall) wametajwa kuwania tuzo za IRAMWA (International Reggae and World Music Awards), Marekani. Wimbo wa MdogoMdogo wa Diamond umemuwezesha...
View ArticleTamko la mkuu wa mkoa wa Kigoma baada ya watu wawili kufa kwa Ebola Congo DRC
Taarifa zinaarifu kwamba kati ya Wagonjwa nane waliokutwa na Ebola huko Congo DRC, wawili kati yao wamefariki dunia. Taarifa hizi zimeendelea kuwashtua na kuwafanya majirani kuzingatia tahadhari ambapo...
View ArticleMalaria Yaua Mhamiaji Haramu wa Ethiopia
Mmoja wa raia wa Ethiopia waliokamatwa kwenye msitu wilayani Bagamoyo wakituhumiwa kuwa wahamiaji haramu na kulazwa hospitalini kutokana na matatizo ya afya, amefariki akipatiwa matibabu. Dawita Alalo...
View Article